Nakushukuru sana Makongo kwa mwelekeo huo. Nasubiri hoja kutoka kwako. Mimi natamani kuongelea juhudi zinazofanya na mheshimiwa JPM na uwezekano wake kuliletea taifa maendeleo ya kiuchumi. Kuna mikakati imewekwa kama vile kulifanya taifa letu kuwa la viwanda. Nasikia misemo tofauti tofauti ya kusifia lakini mikakati ya kweli siioni. Inawezekana ipo labda bahati mbaya siijui.
2016-05-19 15:25 GMT+03:00 'Japhet Makongo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Bwana Masanja nimekusoma. Na Elisa pia namsikia. Nakubaliana kuwa tunahitaji kupunguza muda wa kuchambua na kutafakari mawazo ya mchangiaji. Yanapofika hapa ndiyo hayo, tunasome na kueleza ya kwetu ili kujiepusha na mkwamo mlio nao. Ili nami nisikwame humo nitachangia hioja yangu muda si mrefuMakongo1.----------------------------------------------------------------Japhet Maingu Makongo
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
Tel: +253 24 2732125+253 24 2732125, Mobile:+253 758 270 254+253 758 570 253
On Thursday, May 19, 2016 10:02 AM, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
--Elisa, acha conspiracy theory, kwamba kuna mtu analinda nchi na mwingine anataka kuharibu. Hakuna kitu kama hicho. Kilichopo ni ubaguzi tu wa kuona mchango wa mwingine mara zote ni hasi na wa fulani mara zote ndiyo sahihi. Sasa hivi Bunge letu limegawanyika kulingana na itikadi, kwamba wabunge wa chama fulani wote mawazo yao yako sawa na sahihi na wabunge wa chama fulani mawazo yao yako sawa na wote hawako sahihi. Hali hii inadumaza kila kitu tunachikidhamiria kama taifa. Mfano mdogo ni mimi na wewe, tangu tuanze kuwasiliana hapa bado tuko kwenye mkwamo huo huo, maendeleo yatatoka wapi????Tuwaache wanasiasa wafanye siasa zao, sisi kama Watanzania tuwasaidie kuuona mstakabali wa Taifa letu, tuisaidie serikali kutimiza majukumu yake. Tuna bahati sana kumpata JPM, tunaweza tusimpate tena mwingine kwa miaks hamsini ijayo, tumsaidie kwa mawazo ya kujenga, siyo kumpigia magoti tu hata pale tunapoona anakosea, ili taifa letu liende mbele.2016-05-19 9:22 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Masanja. Hakuna ukandamizaji hapa.
Rais huapa kulinda katiba. Jiulize kuilinda dhidi ya nani? Nani adui wa katiba hiyo? Kama kupitia demokrasia Nchi inaweza kuonekana iko mashakani. Haiwi umiliki wa nchi kwa wale walio na mashaka na wenzao ambao wanaonekana kutoijali nchi inayolindwa na Katiba.
Ndiyo maana watu wanaotufundisha demokrasia kwao kuna mambo mnaweza kubishana na kupingana lakini kuna mambo hayana mjadala. Wakija kwetu wanatusaidia kuitafsiri demokrasia kiuharibifu na kama wengine tukikataa hatulazimishi kuwa unatengenezwa uhati-miliki. Mengine tunaweza kuombana samahani lakini si yale ninayoyataja. Kuna kazi kubwa kuhakikisha kila mtu anaongea kwa nia njema ya nchi. wapo wanaojua wanachokifanya lakini wapo wanaoburuzwa. Wote lazima kujilinda nao.
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 18, 2016, 2:09 PM
Tatizo lako wewe na wengine wa aina
yako, sana sana wa chama fulani mko kama mna hati miliki ya
Tanzania na mawazo yenu ndiyo sawa. Wengine wakiongea
wanakuwa kama wanawaharibia, bado mko kwenye chama kimoja,
hiyo ndiyo shida. Acha wabunge watoe hoja na hizo hoja
zijibiwe bungeni, ndiyo mahara pake. Kuwaona upinzani kwamba
hawana hoja hayo ni mawazo yako. Mimi nawaona wana hoja na
wanahitaji kukaza kamba kwa vile upinzani bado haujakubalika
sehemu nyingi. Hoja za ufisadi kuongelewa kwenye Wizara ya
mamabo ya ndani ni mahala pake. Kama unajidanganya kwamba
muda ukipita hoja ya ufisadi inakwisha fikiria
upya.
Wapinzani
hawataanguka hata kama wewe unapendelea iwe hivyo. Ili nchi
yetu iendelee, hitaji mojawapo ni upinzani imara ambao mimi
nauona unajijenga. Tatizo ni kwamba hata wewe unazungumzia
maendeleo huko ukiomba upinzani ufe, hiyo mimi naiona kama
contradiction.
2016-05-18 11:49 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sasa
nitkuuliza swali au maswali:
Kwa sababu na mbunge huyo ana cheo ambacho nikikitaja
inaweza kutafsiriwa kuwa ni tusi (au labda yeye hajakifikia
maana ni mara ya kwanza kwa hiyo tumpe chake-MJINGA), basi
na hawa wanapunguziwa heshima ya kuleta hoja isiyo ndani ya
agenda yetu? Au kwa kuwa tunao watu wa namna hizi basi
tuachane na vipaumbele vyetu maana wabunge wetu wamezoea
kujadiri off-cause? Bunge la Marekani au uingereza likianza
kujadili mambo yasiyosaidia kujenga barabara wana haki maana
wao wanazo barabara tayari. Wa kwetu wakifanya hivyo
tunatamani kutokuwa nao.
Ndiyo maana mimi nafikiri wanastahili kuona Upepo unavumaje
waende nao (Mjengwa Blog). Kinyume chake utawaangusha.
Wananchi wanaoja mambo fulani. Mataifa ya nje wanaoipenda na
wasioipenda Tanzania wanaona. Wabunge wetu kutoona ni hatari
kuliko maadui wetu kuona hicho kinachoonwa na wengi. Wabunge
kuendelea kuokoteza okoteza cha kumsema magufuli labda kwa
kudhani kuwa wanaweza kufika mahala wakam-Impeach, ni
kusubiri kuwa impeached wao. Miwani yangu inaona hilo
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO
NGAPI KICHWANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, May 18, 2016, 9:59 AM
Elisa hicho
unachokisema si rahisi kukipata, nadhani hauko fair
unapozungumzia upinzani kwa dhana hiyo ya kwamba
wanapoteza
muda wa kujadili hoja za maana. Hata hivyo kwa vile ni
mtazamo wako inabidi nikuheshimu kwa hilo. Mimi kwa
upande
wangu naona wabunge wa chama tawala hawana hoja zenye
mashiko, hoja uliyoitoa ya kutumia muda wa bunge vibaya
nadhani ingekuwa kwa upande huo. Hebu tazama muda
aliotumia
yule mbunge kutoka kanda maalumu kuunga mkono hoja ya
kutooneshwa matangazo ya bunge live, unafikiri hoja
hiyo
ilikuwa na mashiko kweli?? labda ungekuwa umeanza na
huyo.
2016-05-18 9:40 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGOMasanja
sidhani kuwa sikukuelewa. lakini hebu ona Hoja ya mtu
aliyetekeleza sera ya serikali ya mkapa ya kuuza nyumba
inakujaje katika wizara hii? Hapo kitu gani kinaibuliwa
na
kinakuja kusaidia agenda gani.
Tuna nyenzo kidogo. Moja ya nyenzo zetu ni muda na
posho
tunazowalipa wabunge. Kama hoja yetu ni ya upungufu wa
chakula. Tunataka sana hoja zinazo-focus kwenye hoja
yetu
Mtu akaibua kitu tofauti ambacho kitatumia muda
kukijadili
na hakiwezi kabisa kuchangia safari yetu ya
kujitosheleza
kwa chakula huyu mtu akiitwa cheo chake ni matusi? Kama
ndiyo basi naomba samahani.
Lakini taifa limekuwa na shida ya ufisadi ambao
umepelekea
utajiri wa taifa kutonufansha watanzania. maneno mengi
yamesmwa na upinzani umetoa mchango mkubwa katika
kipindi
kilichopita kiasi kiitikadi watu wengi kuelewa mchango
wa
upinzani. Inatia shaka kuwa upinzani sasa unaelekea api
kwani baada ya kumpata rais anayeyaangalia yale
waliyoyaibua
wanaanza na kupingana nayo. Mtu unatia shaka kama ni
wao
walikuwa wanayaibua aau ni wale waliohama aukujitoa?
Hili
nalo sio tusi.
--------------------------------------------
On Wed, 5/18/16, Ezekiel
Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
NGAPI KICHWANI?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Wednesday, May 18, 2016, 9:20 AM
Kaka,
umejieleza kweli kweli, lakini umeishia kutukana na
kujikita
kwenye itikadi. Wabunge wa upinzani wanaibua hoja, na
ndiyo
kazi yao. Ni jukumu la upande wa serikali kujibu hoja
na
kufanya marekebisho yanayohitajika au kuweka msimamo.
kinachoendelea sasa huko bungeni ni kwamba Bunge
limeungana
na serikali kuhakikisha mambo yanapita. Hiyo
inawezekana
kutokana na wingi walio nao, lakini si afya kwa
taifa.
Ingekuwa bora kama hoja nzito zinazoibuliwa na
upinzani
zingepata majibu badala ya kuzimwa na kutupiliwa
mbali
kama
vile zimetolewa na watu kuoka nchi za nje.
Kinachotokea
ni
kwamba msimamo sahihi ni ule wa serikali na wabunge
wa
CCM,
msimamo usio sahihi ni wowote ule unaotokea upande wa
upinzani, sidhani kama hiyo ndiyo democrasia ya vyama
vingi
tuliyoikubali.
Hata
maandishi yako yanafikia kutukana, ukiona hivyo, huo
ndio
ukomo wako wa kufikiria, hii siyo sawa kabisa. Acha
hoja
ijibiwe kwa hoja. Hata hayo uliyoyaeleza kwenye
andiko
lako
na ukaishia kutukana mbona yamenyoka tu! Walisema
bajeti
ni
kubwa sana kama caution kwa serikali ijipange vizuri
kwenye
makusanyo ya kodi na kuangalia matumizi. Bajeti za
wizara
ni
suala la mtazamo tu kwamba sekta ipi ni muhimu zaidi
ya
nyingine na ipi inahitaji ipewe bajeti kubwa kuliko
nyingine. Sasa wewe ukisikia hivyo
unatukana.
2016-05-17 22:58 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum
yenye
mchango wake katika maendeleo ya taifa letu kama
madaktari,
mabwanashamba, wanajeshi nakadhalika. Tunapokwenda
kwenye
uchaguzi tunakuwa tunatafuta watu watakaofanya kazi
maalum
kwa maendeleo ya taifa letu.
Tumechagua wabunge ili waweze kufanya kazi kama
wabunge
na
wawakilishi wa wananchi katika kuisimamia, kuishauri
serikali.
Tumeletewa mfumo wa siasa za vyama vingi na kwa kweli
wakati
wa awamu iliyopita pale serikali ilipokuwa imelala
tumeona
manufaa yake.
Haya. 2015 tukafanya uchaguzi. Tukampata rais
anayeyaangalia
matatizo ya wananchi kwa makusudi ya kuyatatua.
Tumelitengeneza bunge. Tukaongeza idadi ya wabunge wa
vyama
vya upinzani. Tukatarajia kuona nguvu ya upinzani
ikiisaidia
serikali hii inayoonekana kuyaangalia matatizo
yanayogusa
wananchi.
Ninaanza kuwa na matatizo na mambo ninayoyaona
yakiendelea
bungeni. Kuna wabunge hawaoni ulimwengu unachoona
kikifanywa
na serikali. Ndani na nje ya Tanzania kila mwenye
akili
kamili anaona serikali ya Magufuli inachokifanya na
kila
kona anapongezwa.
Niongelee moja kama sio mawili: Serikali ilipotangaza
kuwa
mwaka ujao wa fedha (2016/17) inatarajia kutumia
fedha
za
kitanzania Trilion 29 kutoka trillion 22 za mwaka
unaoisha.
Viongozi wetu walisimama kidete kuikatalia serikali
kuwa
haiwezi kuzikusanya fedha hizo kwa hiyo bajeti hii
ni
kiini macho. Binafsi nilielewa wanalolisema japo
niliielewa
serikali kuwa kwa juhudi inazoonyesha za kukusanya
kodi
na
kubana matumizi inaweza kuzifikisha. Kilichonitisha
ni
pale
wakati wabunge hao hao wakijadili bajeti za wizara
wanaibuka
na kutaka budget za wizara zisipitishwe kwa sababu
wizara
zimetengewa fedha kidogo. Nashindwa kuwaelewa
wawakilishi
wetu. Wanapendekeza wizara ziongeze fedha (kwa kuwa
hazitoshi) ambazo zinatokana na budget wanayotaka
ipunguzwe
(kwa kuwa haziwezi kupatikana). Kuna bongo ngapi
vichwani
mwao? Sielewi. Lakini mbunge mwingine ambaye
anaheshimika
sana anasema wabunge watamkumbuka JK. Watamkumbuka
kwa
sababu hakuwahi kuwazuia kumsema. Kazi ya bunge ni
kumsema
rais au kuisaidia serikali? Mbunge huyo anasema hivyo
kwa
sababu bunge limemzuia kumbambikiza Magufuli ujinga
kuwa
aliuza nyumba za serikali. Wabunge hawajui kuwa
Magufuli
hakuwahi kuuza nyumba hizo bali serikali iliuza
nyumba
zake
kwa uamuzi wake na Waziri (Magufuli) akatekeleza
uamuzi
wa
serikali. Anaambiwa aondoe neon magufuli na aweke
neon
Serikali nanasema hawezi kusoma maoni ya kambi ya
upinzani.
Upumbavu huu naulinganisha na ule ambao watu wazima
walifafanuliwa zaidi ya mara nyingi kuwa Dr. Slaa
alisema
ataanzisha mchakato wa katiba ndani ya siku 100. Wao
wakaendelea kusema alisema atalipatia katiba Taifa
ndani
ya
siku 100. Nauita upumbavu kwa sababu hawakuelewa
kabisa
licha ya kufafanuliwa. Ni huo ambao watu
wanalinganisha
uuzaji wa nyumba na kashfa ya Richmond.
Wabunge wanaotaka mijadala ambayo inaisha baada ya
kujadiliwa wataua upinzani. Tunatarajia wajadili
mambo
yatakayoleta matunda baada ya kujadiliwa. Kutaka
kujadili
nyumba zilizouzwa na serikali kunatarajia kuleta
faida
gani
baada ya mjadala.
Mtu mmoja ameniuliza kuwa sababu ilizotoa serikali
kutoonyesha mijadala ya bunge live ni sahihi?
Nikamjibu
kuwa
sio sahihi. Sababu ni kuwa serikali ilitaka
kuliondolea
taifa aibu kutokana na mijadala kamahi kama ambavyo
watu
fulani huwaficha watoto walemavu ili kuficha aibu za
familia. Kuna wabunge ni aaibu kuonekana live.
Elisa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--

0 comments:
Post a Comment