Wednesday, 18 May 2016

Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?

Sasa kama hayo ndiyo majibu, si wangeyatoa tu bungeni kuliko kuzuia hotuba isisomwe?

Sent from Ezekiel's iPhone

On 18 May 2016, at 16:30, Ernest Philemon <emmbaga@hotmail.com> wrote:

Utekelezaji na watekelezaji. hawakua. na kosa . na hata hela za mauzo hayo pamoja na udogo. wake. ziliingia. katika hazina na zikatumika na watanzania  wengi kama sio. wote. ktk budget  au namna. ingine.  sasa bunge. lijadili namna. ya kutumbua wote walioonja. inaleta. maana kwelii!!!  hivi. ni kweli. wanaobisha. hata. hili. hawaelewi!!!

Ernest

Sent from my Samsung device

-------- Original message --------
From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 05-18-2016 4:07 PM (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?

Heri kusema ukweli kuliko kusema ukweli. Kuficha ukweli ni aibu zaidi. 

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: emuganda@gmail.com
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WABUNGE WETU HAWA WANA BONGO NGAPI KICHWANI?

Hivi, si kweli kwamba Magufuli alishiriki na kusimamia uuzwaji wa nyumba za serikali? Sasa kuna ubaya gani kukumbushia ukweli?
em

Sent from my iPhone

On May 18, 2016, at 2:20 AM, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

Kaka, umejieleza kweli kweli, lakini umeishia kutukana na kujikita kwenye itikadi. Wabunge wa upinzani wanaibua hoja, na ndiyo kazi yao. Ni jukumu la upande wa serikali kujibu hoja na kufanya marekebisho yanayohitajika au kuweka msimamo. kinachoendelea sasa huko bungeni ni kwamba Bunge limeungana na serikali kuhakikisha mambo yanapita. Hiyo inawezekana kutokana na wingi walio nao, lakini si afya kwa taifa. Ingekuwa bora kama hoja nzito zinazoibuliwa na upinzani zingepata majibu badala ya kuzimwa na kutupiliwa mbali kama vile zimetolewa na watu kuoka nchi za nje. Kinachotokea ni kwamba msimamo sahihi ni ule wa serikali na wabunge wa CCM, msimamo usio sahihi ni wowote ule unaotokea upande wa upinzani, sidhani kama hiyo ndiyo democrasia ya vyama vingi tuliyoikubali.

Hata maandishi yako yanafikia kutukana, ukiona hivyo, huo ndio ukomo wako wa kufikiria, hii siyo sawa kabisa. Acha hoja ijibiwe kwa hoja. Hata hayo uliyoyaeleza kwenye andiko lako na ukaishia kutukana mbona yamenyoka tu! Walisema bajeti ni kubwa sana kama caution kwa serikali ijipange vizuri kwenye makusanyo ya kodi na kuangalia matumizi. Bajeti za wizara ni suala la mtazamo tu kwamba sekta ipi ni muhimu zaidi ya nyingine na ipi inahitaji ipewe bajeti kubwa kuliko nyingine. Sasa wewe ukisikia hivyo unatukana. 

2016-05-17 22:58 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Siasa si mchezo wa vichekesho. Siasa ni kazi maalum yenye mchango wake katika maendeleo ya taifa letu kama madaktari, mabwanashamba, wanajeshi nakadhalika. Tunapokwenda kwenye uchaguzi tunakuwa tunatafuta watu watakaofanya kazi maalum kwa maendeleo ya taifa letu.

Tumechagua wabunge ili waweze kufanya kazi kama wabunge na wawakilishi wa wananchi katika kuisimamia, kuishauri serikali.

Tumeletewa mfumo wa siasa za vyama vingi na kwa kweli wakati wa awamu iliyopita pale serikali ilipokuwa imelala tumeona manufaa yake.

Haya. 2015 tukafanya uchaguzi. Tukampata rais anayeyaangalia matatizo ya wananchi kwa makusudi ya kuyatatua. Tumelitengeneza bunge. Tukaongeza idadi ya wabunge wa vyama vya upinzani. Tukatarajia kuona nguvu ya upinzani ikiisaidia serikali hii inayoonekana kuyaangalia matatizo yanayogusa wananchi.
Ninaanza kuwa na matatizo na mambo ninayoyaona yakiendelea bungeni. Kuna wabunge hawaoni ulimwengu unachoona kikifanywa na serikali. Ndani na nje ya Tanzania kila mwenye akili kamili anaona serikali ya Magufuli inachokifanya na kila kona anapongezwa.

Niongelee moja kama sio mawili: Serikali ilipotangaza kuwa mwaka ujao wa fedha (2016/17) inatarajia kutumia fedha za kitanzania Trilion 29 kutoka trillion 22 za mwaka unaoisha. Viongozi wetu walisimama kidete kuikatalia serikali kuwa haiwezi kuzikusanya fedha hizo kwa hiyo  bajeti hii ni kiini macho. Binafsi nilielewa wanalolisema japo niliielewa serikali kuwa kwa juhudi inazoonyesha za kukusanya kodi na kubana matumizi inaweza kuzifikisha. Kilichonitisha ni pale wakati wabunge hao hao wakijadili bajeti za wizara wanaibuka na kutaka budget za wizara zisipitishwe kwa sababu wizara zimetengewa fedha kidogo. Nashindwa kuwaelewa wawakilishi wetu. Wanapendekeza wizara ziongeze fedha (kwa kuwa hazitoshi) ambazo zinatokana na budget wanayotaka ipunguzwe (kwa kuwa haziwezi kupatikana). Kuna bongo ngapi vichwani mwao? Sielewi. Lakini mbunge mwingine ambaye anaheshimika sana anasema wabunge watamkumbuka JK. Watamkumbuka kwa sababu hakuwahi kuwazuia kumsema. Kazi ya bunge ni kumsema rais au kuisaidia serikali? Mbunge huyo anasema hivyo kwa sababu bunge limemzuia kumbambikiza Magufuli ujinga kuwa aliuza nyumba za serikali. Wabunge hawajui kuwa Magufuli hakuwahi kuuza nyumba hizo bali serikali iliuza nyumba zake kwa uamuzi wake na Waziri (Magufuli) akatekeleza uamuzi wa serikali. Anaambiwa aondoe neon magufuli na aweke neon Serikali nanasema hawezi kusoma maoni ya kambi ya upinzani. Upumbavu huu naulinganisha na ule ambao watu wazima walifafanuliwa zaidi ya mara nyingi kuwa Dr. Slaa alisema ataanzisha mchakato wa katiba ndani ya siku 100. Wao wakaendelea kusema alisema atalipatia katiba Taifa ndani ya siku 100. Nauita upumbavu kwa sababu hawakuelewa kabisa licha ya kufafanuliwa. Ni huo ambao watu wanalinganisha uuzaji wa nyumba na kashfa ya Richmond.

Wabunge wanaotaka mijadala ambayo inaisha baada ya kujadiliwa wataua upinzani. Tunatarajia wajadili mambo yatakayoleta matunda baada ya kujadiliwa. Kutaka kujadili nyumba zilizouzwa na serikali kunatarajia kuleta faida gani baada ya mjadala.
Mtu mmoja ameniuliza kuwa sababu ilizotoa serikali kutoonyesha mijadala ya bunge live ni sahihi? Nikamjibu kuwa sio sahihi. Sababu ni kuwa serikali ilitaka kuliondolea taifa aibu kutokana na mijadala kamahi kama ambavyo watu fulani huwaficha watoto walemavu ili kuficha aibu za familia. Kuna wabunge ni aaibu kuonekana live.

Elisa

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment