Jimbo la Kaskazini haswa Kilimanjaro liliwahi kuwa na kiongozi wake aliyechaguliwa - aliwahi kutaka kupeleka hoja ya kutaka uhuru wa eneo hilo umoja wa mataifa na wakati tunapata uhuru huyu jamaa eliufoo alikuwa anaendelea kupata pensheni toka serikali ya Tanganyika , nyaraka za malipo ninazo sehemu nitaziweka .
Manakumbuka wakati wa Kampeni za Arumeru Magharibi bwana nassari alivyotamka neno kujitenga kwa kaskazini ni muda huu pia alitembelea nyumba ambayo alikuwa anaishi mmoja wa viongozi wa maeneo hayo ya kaskazini na waliotaka uhuru wao wenyewe .
2015-01-22 13:19 GMT+03:00 'Salim Khatri' skhatri@orcis.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:
Kwani tulikuwa na machifu wa majimbo?
Salim.
From: Wanazuoni@yahoogroups.com [mailto:Wanazuoni@yahoogroups.com]
Sent: Thursday, January 22, 2015 11:48 AM
To: Wanazuoni
Subject: Re: [Wanazuoni] Sera ya Majimbo
Babu zako walitoka majimbo gani kaskazini ? so wanataka kurudisha hii mizimu tena , machifu warudi kutoka kuzimu ?
2015-01-22 4:50 GMT+03:00 Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:
KTY: Mwenye (Andiko Rasmi La) Sera ya Majimbo ya CHADEMA na(l)iomba tafadhali (hasa toleo la mwanzo [2005?])
--
Yona Fares Maro
Institut d'études de sécurité - SA
__._,_.___
Reply via web post • Reply to sender • Reply to group • Start a New Topic • Messages in this topic (4)
.![]()
__,_._,___
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment