Friday, 2 January 2015

[wanabidii] CHADEMA MAKAO MAKUU YAHUSISHWA NA HUJUMA ACT

CHADEMA MAKAO MAKUU YAHUSISHWA NA HUJUMA ACT:Hofu kubwa imetanda makao makuu ya chadema,kutokana na mafanikio ya haraka ya ACT-Tanzania,na kuamua kufanya hujuma dhidi ya chama hiki kichanga.wakimtumia ofisa habari wao Bw Makene amekuwa akifanya vikao vya siri na mkt wa muda wa Act Bw Limbu ktk hotel ya Chichi iliyopo kinondoni.Mnamo tareh 28/12/2014 mnamo saa 11jioni,Makene akitumia gari la chama pik up M4C alikuwa na kikao cha siri na Bw Limbu,Mahona pamoja na mtu alitambulika kuwa ni mkt wa vijana wa chama cha ACT.Wakati kikao kikiendelea aliongezeka mtu mwingine upande wa Chadema aitwae Sabura.Hofu ya Chadema ni dhana kuwa huenda Zito kabwe akajiunga na ACT,hivyo Zito akienda ACt itakuwa ndio mwisho wa Chadema na kibakia na historia kama ilivyo NCCR.Ikumbukwe kuwa Zito kabwe ndie alieijenga Chadema na kuifikisha hapo ilipo sasa,kwa hoja zake makini kama vile hoja ya Buzwagi na kufukuzwa Bungeni na kuzunguka nchi nzima kuijenga Chadema.Kabla ya Buzwagi watanzania walikuwa hawaifahamu chedema.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment