Thursday 22 January 2015

Re: [wanabidii] VIJANA NA MAGARI YA MIKOPO

Kununua gari sio anasa! Pia lazima suti na tai uvitendee haki! Huwezi kuwa umevaa suti wakati Huna uhakika wa seat ndani ya daladala. Umeshika bomba, hakuna hewa, msongamano was raia.. utamudu Kwa miaka mingapi hii transport scramble?

Ni mazingira haya au km haya yanachochea mabadiliko unayoyasema!

Inawezekana pia wapo wa tabia hiyo bt hawatoshi kuwawakilisha majority unless umefanya utafiti wa kina!

On Jan 22, 2015 7:51 PM, "Hosea Ndaki" <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

juma, miaka ya themanini tu hapa wakati wa sokoine kumiliki tv ilikuwa anasa kubwa sana tena ulikuwa ni uhaini kujulikana unamiliki tv. fridge zilikuwa kwa mapadri tena wale wa kizungu. hivyo kila jambo na wakati wake. kwa sasa gari ni chombo cha kawaida tu.

On Jan 20, 2015 2:01 PM, "Juma Mzuri" <jumamzuri@gmail.com> wrote:

VIJANA NA MAGARI YA MIKOPO

Vijana wengi wakiingia kwenye soko la ajira kitu cha kwanza wanachofikiria kufanya ni kununua gari. Kuna wachache wanazichanga na kununua gari lakini wengi wao wamenunua magari kwa mkopo, Vijana wengi hapa mujini wanaendesha magari ya mkopo. Utakuta mtu badala ya kuchukua mkopo ili afungue biashara ya kumuingizia kipato, wao wanakopa magari ili waonekane wapo juu kimaisha. Gari lenyewe unalolikopa badala likuingizie kipato lenyewe ndio linakukaanga, kila siku lazima uliingize sheli kununua mafuta, kila mwezi lazima mshahara wako ukatwe kulipia gari ulilokopa, gari lenyewe nalo linahitaji kufanyiwa service. Watu wanafanya kazi, wanalipwa kipato kizuri lakini mishahara yao haiwatoshi kwasababu ya magari waliokopa.

Mtu unachukua mkopo wa gari wakati unaishi nyumba ya kupanga na huna hata kipande cha ardhi cha kujenga choo.. Pumbavu... Kwanini usichukue mkopo ukanunua ardhi ukaanza kujenga nyumba yako taratibu?? au kwanini usichukue mkopo ukafanya biashara ili upate njia nyingine ya kujiingizia kipato?? Shida ya vijana mlio wengi, mademu mnakopa magari kuwaringishia mashoga zenu mtaani na wanaume mnakopa magari ili muwapate kiurahisi mademu coz hapa mujini kama una gari ukitongoza demu hakatai... Wengi mnakopa magari eti kwasababu hamtaki kupanda daladala

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment