Wednesday, 21 January 2015

Re: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.

Waliosema Mwigulu ni mbaya hawakumsingizia kwa ubaya ama alioufanya au alioushiriki.
Wanaosema mwigulu ni mzuri hawajakosea. Ukumsikiliza sana na kwa makini utakuta akiwa natural. Anasema anachokiamini. Kwa nafasi ya urais anahitaji miaka angalau mitano ya uwaziri ili kumkabidhi nafasi hiyo. Tungekosa altenative zilzowazi basi tungempa yeye. La kini kwa kuzingatia umri wake tutafanya vyema kumsubirisha.
--------------------------------------------
On Wed, 1/21/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.
To: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>, wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, January 21, 2015, 7:02 PM

Binafsi nilikuwa naamini

Waingereza husema time will tell. Ipo
siku.. ambayo si muda mrefu watu watagundua kuwa Mwigulu si
mtu mbaya sana kama walivyojulishwa. Pamoja na madhaifu ya
kibinadamu jamaa ni mtu mzuri, mwema na mpenda watu..Mara
nyingi alikuwa pale mlimani city akiongea na kusalimiana na
kila mtu bila kujali hadhi na kipato chake. Ukiunganisha
hayo na kwa jinsi anavyotenda....utangundua kwel mtu huyu
anajua nini shida ya watz. Jambo moja nilijualo....its just
a matter of time....watz watamuelewa na kumpenda.

Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:

Kile kinyago
alivyokuwa anatembea nacho kilimwagiwa tindi kali na the
likes of Ludo ili kusingizia Chadema. You can fool some
people some of the time.em

Sent from my iPhone
On Jan 21, 2015, at 10:36 AM, Joseph <josephludovick@gmail.com>
wrote:

muganda
wewe unao huo
ushahidi ama wasema tu kwsababu mfalme mbowe kasema?

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Hakusingiziwa.
Ushahidi upo lakini kwa sababu ni CCM hawezi kuchukuliwa
hatia za ugaidi.em
Sent from my iPhone
On Jan 21, 2015, at 7:55 AM, Ezekiel Massanja
<ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:

Huyu Bwana alisikika sana kwenye
yale mambo ya akina ulimboka na kuumizwa kwa jamaa wa
upinzani. Nadhani alikuwa anasingiziwa tu, zilikuwa
propaganda za wapinzani
2015-01-21 14:03 GMT+03:00
'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mwanzoni
waliona ni kama jambo la kawaida tu na hakuwa na mvuto sana.
Lakini kwa kadri dakika na saa zinavyozidi songa...ndivyo
homa juu yake inavyozidi kupanda. Watu wanazidi kumuelewa na
kukubalika kwake kunazidi kuongozeka. Kama ilivyo ada na
maadui au wapinzani nao wanazidi kuongozeka ili kumdhibiti.
Wengne wameghushi vyeti vyake  vya shule na kuvutupa
mtandaoni ili kuonyesha eti hajatimiza miaka 40. Na wengjne
wameghushi barua ili kuonesha amezuiwa rasmi na bosi wake
Kinana kutofanya shughuli zozote za mikutano ya hadhara
kwa  chama..Lkn, yote hiyo ni dalili tu ni kwa jinsi gani
kijana huyu amekuwa tishio kwa wengi wa wasaka uraisi.. 
 je, kwa kasi hii Mwigulu akiipeoerusha bendera ya CCM
kuusaka urais wa TZ itakuwa maajabu?mimi na wewe
hatujui...yetu macho....Ngupula.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Em

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment