Wednesday, 21 January 2015

RE: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.

Kila zama na kitabu zake.  Kama Ml. Nyerere aliweza kupata uongozi akiwa kijana wakati ule muda huu sio muafaka kwa vile mtu kapewa uwanja acheze na hajaweza kuwa tested. Ukweli uko pale pale Mwigulu baaado saana.

Anahitaji muda kuweza kuwa Rais wa nchi na sio sasa. Kwa list tuliyokuwa nayo hakuna anayetufaa.  Itabiditurudi kwenye drawing board.

Fakakari

Herment

Date: Wed, 21 Jan 2015 19:04:38 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re:Mwigulu awa tishio kwa wasaka urais 2015.
From: wanabidii@googlegroups.com
To: makwadeladius@googlemail.com; wanabidii@googlegroups.com

Makwega, kwa hitimisho lako hilo halionyesha uhalisia wa unachokisema bali ya unachokiamini..for your own reasons. Stay blessed bro.

adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

Mwigulu ana  uwezo mdogo sana,hawezi kuwa tishio  kwa  chama  kama CCM , vijana makini wa CCM kama nape  wanatuma muda wao kujifunza  na kuchota  hekima kutoka  kwa wale  wanaojua  siasa  za  Tanzania.   Mimi naona Waziri  Mwigulu hawezi  kuwa tishio kwa mgombea  yoyote wa  Urais wa CCM ata  kama CCM  ikiamua  wapigiwe kura Hadija  Kopa na Mwigulu Nchemba.Kopa Anamshinda Mwigulu.

2015-01-21 18:00 GMT+03:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Hakusingiziwa. Ushahidi upo lakini kwa sababu ni CCM hawezi kuchukuliwa hatia za ugaidi.
em

Sent from my iPhone

On Jan 21, 2015, at 7:55 AM, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

Huyu Bwana alisikika sana kwenye yale mambo ya akina ulimboka na kuumizwa kwa jamaa wa upinzani. Nadhani alikuwa anasingiziwa tu, zilikuwa propaganda za wapinzani

2015-01-21 14:03 GMT+03:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mwanzoni waliona ni kama jambo la kawaida tu na hakuwa na mvuto sana. Lakini kwa kadri dakika na saa zinavyozidi songa...ndivyo homa juu yake inavyozidi kupanda. Watu wanazidi kumuelewa na kukubalika kwake kunazidi kuongozeka. Kama ilivyo ada na maadui au wapinzani nao wanazidi kuongozeka ili kumdhibiti. Wengne wameghushi vyeti vyake  vya shule na kuvutupa mtandaoni ili kuonyesha eti hajatimiza miaka 40. Na wengjne wameghushi barua ili kuonesha amezuiwa rasmi na bosi wake Kinana kutofanya shughuli zozote za mikutano ya hadhara kwa  chama..Lkn, yote hiyo ni dalili tu ni kwa jinsi gani kijana huyu amekuwa tishio kwa wengi wa wasaka uraisi..   je, kwa kasi hii Mwigulu akiipeoerusha bendera ya CCM kuusaka urais wa TZ itakuwa maajabu?mimi na wewe hatujui...yetu macho....Ngupula.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

For more options, visit

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment