Thursday, 1 January 2015

Re: [wanabidii] Re: MAHABUSU AUWAWA ALIPOTAKA KUTOROKA KISUTU

Kama amepigiwa risasi za warning hakujali; kavuta miguu na waliokua mahakamani kuporomoshwa asivuke ngazi akapanda tena hakujali; akapigwa risasi ya mkononi-hakujali; akapigwa ya kumuua.Kama askari wangeanza kumkimbiza yeye ina maana ingetoa ruhusa kwa wafungwa wengine kusepa-kutoroka. Vurugu ingekuwa kubwa. Hapo jela iangalie kuweka Camera pale ambapo wafungwa hulala na kula, kuongea na wenyeji wao maana wengine huwaletea vitu kama hizo ramani za mipango ya kutoroka na hiyo gari ya Noah iliyokuwa inamsuburi nje imchuke. Ni mpango uliopangwa unaoshirikisha baadhi ya askari au watumishi wa magereza (kisiri) ndio maana alikuwa na ramani na namba za simu ktk soksi. Ukiambiwa na askari -simama budi usimame ukikimbia unatafuta janga. Kutoka Siera Leone hadi bongoland kuuza au kuleta madawa ni mpango mkubwa.



On Wednesday, 31 December 2014, 15:40, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:


Kama vile sielewi, hivi mtuhumiwa wa madawa ya kulevya unamuachia nafasi hata anadiriki kujaribu kutoroka? Au kunani hapa?
Sheria ya jeshi la magereza linampa mamlaka askari ya kumpiga risasi mfungwa/mahabusu anapofanya jaribio la kutoroka ,ikiwa amepiga risasi tatu hewani bila mtuhumiwa kusimama,
2,ikiwa amefka mbali,na sehemu anazoruhusiwa kumpiga risasi ni maeneo yote yasiyoweza kuhatarisha uhai wa mtuhumiwa,maeneo kama vile miguuni,mabegani nk,je askari alimuua hyo mtuhumiwa wa madawa ya kulevya amefanya hivyo?
Na kama hajafanya je chuoni Kiwira hakufunzwa?sheria ichukue mkondo wake kwa kufanya mauaji ya kukusudia

On Wednesday, December 31, 2014 10:07:40 AM UTC+3, Abdalah Hamis wrote:
MAHABUSU AUWAWA ALIPOTAKA KUTOROKA KISUTU


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment