Wednesday, 21 January 2015

Re: [wanabidii] Kama Ni Mdahalo Wa Urais; Hivi ni haki kwa Dovutwa kupewa muda sawa na Profesa Lipumba kwenye mdahalo...?

Mdahalo uwe sawa kwa wote.
Moja kati ya faida za midahalo ni yule atakayeshinda kutumia hata aliyoyasikia wakisema walioshindwa ikiwa ni pamoja na wale wadogo sana.
Lakini la pili ni vizuri kuja kuwa kura ni kura. Ukiwasikiliza watanzania na hasa mwaka huu kuna uwezekano watanzania wasipige kura au wakapiga kura za fujo. Sasa kama huyo mdogo akasikika na kuwafurahisha wakaamua kumpa? Kuna mifano mingi ndani za chaguzi hasa ngazi za serikali za mitaa na udiwani watu wamekuta aliyekuwa hatarajiwi kapita
Hata Mkapa alikuwa hatarajiwi. gazeti la chama chake liliweka jina lake konani ..... na Mkapa achukua fomu.
--------------------------------------------
On Tue, 1/20/15, 'john mushi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kama Ni Mdahalo Wa Urais; Hivi ni haki kwa Dovutwa kupewa muda sawa na Profesa Lipumba kwenye mdahalo...?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, January 20, 2015, 2:27 PM

Mdahalo wapewe wagombea watatu tu. Nao watoke
kwenye vyama vyenye nguvu, na sio utitiri wa wagombea ambao
kwenye chama ni yeye tu anayejulikana, hata kule kwenye
serikali za mitaa hana mtu yeyote!kama Ukawa wataungana
BasiMdahalo uwe wa wagombea wawili Tu, yaani CCM na
UKAWA.Anayetaka ajiunge Ukawa ili achaguliwe huko kama ana
ubavu.

From: Paul Lawala
<pasamila292000@gmail.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent:
Tuesday, January 20, 2015 8:32 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Kama Ni Mdahalo Wa Urais; Hivi ni haki kwa
Dovutwa kupewa muda sawa na Profesa Lipumba kwenye
mdahalo...?

Midahalo wapewe
nafasi wagombea wa urais ambao wameonesha
umakini
Kutokana na uwingi wa vyama utakuta msururu wa
wagombea ambao baadhi yao ni mamluki tu,hawana
maana
On Tue, Jan 20, 2015 at
12:01 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:
maggid hii coment yako mbona haiendani na hadhi
yako au kuna mtu anatumia anuani yako?
On Jan 17, 2015 9:50 AM,
"Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:

Kwa vile tu Dovutwa naye ni mgombea
urais. Huku tukijua kuwa chama anachokiongoza Dovutwa
hakijawahi hata kushinda nafasi ya ujumbe kwenye Serikali ya
Mtaa. Kama kuna dakika 60 za mdahalo wa Urais Dovutwa ana
haki ya kupata mgawo sawa wa dakika za kuzungumza na Profesa
Lipumba? 
Je, tutakuwa tumewatendea haki
wapiga kura?
Nimechokoza mjadala..
Kama mwenyekiti kijiji wa
kijiji cha Mjengwablog.com
Maggid.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment