Thursday, 1 January 2015

Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA

Nafikiri kilichofanyika ninkitendo safi tu. hata hivyo......hii democrasia sasa isitumike kupelekesha watu wengine mpk washindwe kufanya kazi zao...watu wa madawa wanasumbua sana na sioni sababu ya wao kuhurumiwa.

Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

alfred, zilipigwa risasi tatu hewani hakusikia, akapigwa ya mkononi akasonga mbele na ndo kwanza kaparimia uzio nadhani kilichofuata ni kupigwa ya shingo. kwani wangezubaa kumkimbiza na wengine waliosalia wangesepa.

ipo haja ya kufunga camera eneo la mahakana na ndani ya magereza kufatilia mwenendo ya hawa wahalifu.

On Jan 1, 2015 8:25 AM, "'severinealfred' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Inaonekana hii habari imeandikwa kishabiki! Kumdhibiti mtu sio kumuua! Inabidi jeshi la magereza lijitafakari! Mtuhumiwa bado ana haki ya kuishi! Hivyo kwa weledi wso walitakiwa wazuie asitoroke ou ukitokea hivyo wamkamate


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: 'Julius Mtatiro' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 31/12/2014 14:22 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BREAKING NEWS: MAHABUSU AUWAWA KWA RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA


Asante kwa taarifa hii muhimu. Tatizo lako liko palepale, auhariri kazi yako. Kazi imekaa "shagalabagala", haitoi mantiki hata kidogo. Zingatia ushauri ambao watu wanakupa kila siku.

Julius S. Mtatiro,

    

On 31 Dec 2014, at 13:58, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Asante Happiness Katabazi kwa hii breaking News ila mdogo wangu nakushauri uwe unahariri habari yako yoyote unayoandika kabla hujaituma kwa watu wengine au hata kumwomba mtu mwingine yeyote kuipitia na kuihariri kabla ya kuituma maana huo si ujinga ndiyo maana hata kazi za maprofesa huhaririwa na watu wengine kabla hazijatoka.. Ujumbe tumeupata itakiwavyo ila kuna makosa ya kisarufi mengi sana katika uandishi wako.  kwa mfano kukosea spelling, kuweka vituo pasipo husika, kuweka herufi kubwa katikati ya sentensi na mambo mengine mengi kama hayo.  Wewe ni binti wa kujituma sana ila tu rekebisha mambo madogo madogo kama hayo na utakuwa mwandishi mzuri tu na hata sheria naamini utaimaster vizuri baadae. Kama hutajali kwa mambo ya kisheria unaweza kuni consult kama ukipenda through my personal email bobittz@yahoo.com au kwa direct phone contact through 0767804561 au 0786804561. I have provided you with my contacts for legal consultations purposes only and not for any other issues as it might be interpreted by you or any other member of this group.  I think one of the objectives of this network is to provide assistance whether socially or professionally amongst us where necessary.
Advocate Leonard Elias Magwayega-Esquire.


On Wednesday, December 31, 2014 12:14 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


BREAKING NEWS
MAHABUSU AUWAWA KWA  RISASI MAHAKAMA YA KISUTU AKIJARIBU KUTOROKA
Na Happiness Katabazi
JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu  wa Kesi ya dawa za kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni,  Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani  Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkazi Kisutu Dar es Salaam, asitoroke chini ya Ulinzi  baada ya kumtwanga risasi na kumuua papo hapo.

Wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi baadhi ya wanausalama waliopangwa kulinda Usalama Katika

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment