[caption id="attachment_54042" align="aligncenter" width="445"]<img class="size-full wp-image-54042" alt="Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/Marehemu-Bi.-Twitikege-Mlagha-Mafumu-enzi-za-uhai-wake..jpg" width="445" height="640" /> Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake.[/caption]
[caption id="attachment_54043" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-54043" alt="Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00131.jpg" width="800" height="484" /> Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.[/caption]
[caption id="attachment_54044" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-54044" alt="Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0043.jpg" width="800" height="520" /> Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.[/caption]
[caption id="attachment_54045" align="aligncenter" width="600"]<img class="size-full wp-image-54045" alt="Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0049.jpg" width="600" height="711" /> Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.[/caption]
[caption id="attachment_54046" align="aligncenter" width="600"]<img class="size-full wp-image-54046" alt="Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0048.jpg" width="600" height="613" /> Baadhi ya wanakwaya wa Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam wakiimba kuomboleza kwa pamoja na waombolezaji katika msiba huo jana.[/caption]
[caption id="attachment_54047" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-54047" alt="Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_00201.jpg" width="800" height="567" /> Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.[/caption]
[caption id="attachment_54048" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-54048" alt="Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0012.jpg" width="800" height="400" /> Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.[/caption]
[caption id="attachment_54049" align="aligncenter" width="800"]<img class="size-full wp-image-54049" alt="Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike." src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0014.jpg" width="800" height="533" /> Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu unaofanyika Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike.[/caption]
[caption id="attachment_54050" align="aligncenter" width="640"]<img class="size-full wp-image-54050" alt="Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana. " src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0029.jpg" width="640" height="475" /> Kwaya ya Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi jinini Dar es Salaam ikiimba kuomboleza msiba huo jana.[/caption]
<strong>Na Joachim Mushi</strong>
<strong>MAMA</strong> mzazi wa waandishi wa habari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Hindu Mandal anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano kijijini kwao Newland (Kibunde) Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa Mwaibale mwandishi wa habari wa kampuni ya Global Publishers Limited, Dotto Mwaibale mwandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa mtandao wa www.habarizajamii.com na Nico Mwaibale mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) akiripotia mkoa wa Tabora anatarajiwa kusafirishwa kesho kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam na wanafamilia mwili wa marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu utaagwa kesho majira ya saa tano asubuhi katika Hospitali ya Temeke mkoani Dar es Salaam kabla ya msafara wa kuelekea mjini Mbeya kuanza.
Baada ya ndugu, jamaa na marafiki kumaliza kutoa heshima za mwisho katika hospitali hiyo msafara wa kuelekea Kijiji cha Newland (Kibunde) kilichopo Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya utaanza sehemu ambayo marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu anatarajiwa kuzikwa.
Taarifa hiyo iliongeza kuwa msiba na maandalizi ya mazishi ya Bi. Twitikege Mlagha Mafumu bado yanaendelea kufanywa Mbagala Kuu, eneo la Bucha jijini Dar es Salaam nyumbani kwa mtoto wake mkubwa wa kike. Kwa taarifa zaidi kwa watakao itaji maelekezo ya kufika msibani wanaweza kuwasiliana kwa namba<strong>; 0712 707 630 / 0712 727 062 / 0786 858 550.</strong>
<strong>*Imeandaliwa na www.thehabari.com</strong>
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment