Hali ya maji Kimara, Baruti, Ubungo, Manzese hadi Magomeni Kagera ni Mabaya.
Watu wa DAWASCO wanapita tuu na magari wakikaanga Mafuta, hakuna Cha Taarifa wala nini. Kw Mara ya Kwanza Jana wameonekana na gari la Wazi na Wanenguaji Nyuma, wakihimiza Watu kulipa Ankara za Maji. Hainiingii Kabisa akilini kuhimiza kulipa Bills kwa Huduna "HEWA"
Kwa kweli hii SIASA Kwenye suala zima la maji Ingewekwa Kando, na kuhudumia wananchi hawa. Mhe. John Mnyika, tunatambua juhudi zako kupigania wanajimbo wako wapate huduma ya Maji, Lakini Unaangushwa makusudi ili sisi tuteseke. Mwisho utawadia tu...Usivunjike moyo.
Haya....Wapenda Haki.
--------------------------------------------
On Fri, 12/12/14, 'Charles Misango' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UHABA WA MAJI KIMARA HADI LINI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>a
Date: Friday, December 12, 2014, 10:14 PM
Na bado kuna watu wanaona sawa
tu na sasa wanapita wakitafuta uuongozi ikiwa kwa miaka 53
hakuna maji katika jiji kama hili
On Friday, December
12, 2014 12:15 PM, 'jacob dlk' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu Wanabidii na
Waheshimiwa wote wa Wizara ya maji na DAWSCO Dar es
Salaam,
Hiki ni kilio
kikubwa sana Huku Kimara na Jimbo lote ta UBUNGO. Ni
takribani siku ya Ishirini na Tisa leo HAKUNA Maji. Cha
kushangaza sana, Hakuna Taarifa kwenye Vyombo vya Habari(TV,
Magazeti au Mitandaoni) wala PA kusikika Barabarani. Ina
sikitisha kwa kweli. Nimefanya Survey Jana, Debe/Dumu moja
la lita 20, sasa Linauzwa Tzs.1,000/- hadi Tzs.1,500/- kwa
maeneo ya SUCA, KIMARA, BARUTI, Manzese na Magomeni Kagera.
Watu wana taabika sana, wanakesha kusaka maji.
Wakati, Ofisi za Wizara ziko
katika Jimbo jilo, hakuna hata anayeguswa kushughulikia
Kilio hiki....Inasikitisha kwa Kuwa Hapo Jirani na Tank
Kubwa Ubungo, Kuna Kiwanda cha Kufyatua Matofari, kinatumia
Maji BURE, Pamoja na Wakubwa wa Wizara Kumkamata Mhusika,
lakini hakuna mabadiliko.
Mheshimiwa, Waziri Jumanne Maghembe Unaelewa
hayo??? Ni kwa nini swala la Maji UBUNGO ninafanyiwa Mzahaa
na kuingizwa SIASA???. Inasikitisha zaidi, kwani Wenye
Magari ya Maji Imekuwa neema kwao, na Maji ya kwenye hayo
magari yana chumvi Kupindukia.
DAWASA/DAWSCO Hivi Ni lini hasa Mtatenga
Pembeni Siasa na Uhalisia wa Maisha ya Wananchi hawa wanao
teseka na Uhaba wa Maji katika Kipindi hiki cha Jua na Joto
Kali Dar Es Salaam????
Kwanini Bomba hilohilo la Ruvu, kuna Sehemu
nyingi tu zinaendelea Kupata Maji, na Kwanini Wananchi wa
Kimara, Ubungo na Manzese tu???
Jiandaeni kujibu hoja kabla hujuma zenu
hajijawekwe Hadharani.
Mwaisho namalizia Kwa Kumtaka Waziri wa Maji
afike mwenyewe ajionee wananchi wanavyo taabika.
Wenu mwanabidii.
Mwasajone
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment