tATIZO LENU KUANZIA MWANZISHA MADA NI KUMTAFUTA Rais wa taifa hili ndani ya Box moja tu linaloitwa CCM. Tanzania ni zaidi ya CCM
--------------------------------------------
On Sun, 12/28/14, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] SIFA 13 ZA MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA RAIS
To: "'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, December 28, 2014, 2:03 PM
Zaid ya mwalimu Nyerere,hakuna
mwenye sifa hizo zote kwa sasa. Na hakuna aliyekuwa na sifa
hizo katika maraisi wote waliopita. Tukiacha siasa,muhimu ni
kuangalia mahitaji ya Taifa kwa wakati ujao na nani anafaa.
Kwa mtazamo wangu ni Mwigulu Nchemba na Lowassa tu ndio
wanakidhi za mahitaji ya sasa kwa sehemu kubwa....Ngupula
'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Rehema;Sifa ya saba (7) inaitajika sana inji hii,watu
wanavuna mali za umma sababu hawachukuliwi hatua
sinazowastahili,limekuwa shamba
la marehemu Bibi.Na sifa ya kumi na moja (11) inaletwa hapa sababu
ya ubinafsi tu,tuache tu na wengine waendelee kuvuna shamba
la marehemu,then tuone kama kuna kitakachobaki inji
hii.Kama hii iki-apply basi iwe kwa wote pamoja na
waliotangulia i.e. unamali au familia yako ina mali za
mashaka mashaka zirudishwe kwenye Taifa.
Reuben
On Sunday, December
28, 2014 1:53 AM, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
wrote:
SIFA
13 ZA MWANACCM ANAYEFAA KUSHIKA NAFASI YA RAIS, KANUNI ZA
UCHAGUZI TOLEO LA MWAKA 2005 NA MAREKEBISHO YAKE YA MWAKA
2010.1.Awe
na uwezo mkubwa wa kuliongoza Taifa kwa kuzingatia uzoefu
wake katika uongozi wa shughuli za Serikali,Umma na
Taasisi.2.Awe
Mwadilifu,asiyetiliwa shaka juu ya matendo ya uadilifu mbele
ya uso wa Jamii ya Watanzania na awe mwenye Hekima na
Busara.3.Awe na angalau kiwango cha
Elimu ya Chuo Kikuu au Elimu inayolingana na Hiyo.4.Awe mwenye upeo na uwezo mkubwa wa
kudumisha,kuimarisha na kuendeleza Muungano wetu,Umoja wetu
Amani na Utulivu wetu na Mshikamano wa Kitaifa.5.Awe Mtu mwepesi wa kuona
mbali,asiyeyumbishwa na mwenye uwezo wa kufanya uamuzi wa
busara kuhusu masuala nyeti na muhimu ya taifa kwa wakati
unaofaa.6.Awe na upeo
mkubwa na usiotiliwa shaka kuhusu masuala ya Kimataifa ili
aweze kuwa kiungo imara kati ya nchi yetu na Dunia yote kwa
ujumla.7.Asiwe Mtu mwenye
Hulka ya Udikteta au Ufashisti bali awe mtu anayeheshimu na
kulinda Katiba ya nchi,Sheria,Utawala bora,Kanuni na
Taratibu za Nchi.8.Awe
mtetezi wa wanyonge,wa haki za binadamu,mzingatiaji makini
wa maendeleo ya raia wote na asiwe na tamaa ya kujitafutia
umaarufu wa mtu binafsi.9.Awe mstari wa mbele katika
kuzifahamu,kuzieleza,kuzitetea na kuzitekeleza Sera za CCM
na Ilani ya CCM ya Uchaguzi.10.Awe mpenda haki na awe mtu jasiri katika kupambana
na dhuluma na maovu yote nchini.11.Asiwe ni mtu ambaye anatumia nafasi yake ya uongozi
kujilimbikizia mali.12.Kwa jumla awe ni mtu anaye kubalika na
wananchi,,na13.Awe mtu
makini katika kuzingatia masuala ya uwajibikaji wa
viongozi/watendaji na asiyevumilia uzembe katika utekelezaji
wa majukumu/wajibu waliokabidhiwa ili kuinua nidhamu ya
Kazi.Tija na Ufanisi.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum be
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment