Njia moja na muhimu sana ya kupunguza ajali hizi ni kuwa na mfumo wa kuwapata madereva.
Ikumbukwe kuwa madereva wetu waliowengi wameanzia kwenye utingo. hawana mafunzo maalum.
ama tunao mfumo wa kuwapata walimu, Waganga, mabwana shamba nakadhalika kwa nini tusiwe na mfumo maalum wa kuwafundisha na kuwataini madereva?
Kumbuka wakati wa mitihani ya darasa la saba. Police, usalama wa taifa nk wote hushughulika na mituhani. Iweje madereva ambao kwa kukosa mfumo wa kuwapata tunaona maisha ya watu yakipotea.
Hebu tujaribu hapo tuone.
--------------------------------------------
On Sun, 12/28/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Je, nini kifanyike kumaliza kabisa ajali za barabarani kwa mwaka ujao (2015)
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, December 28, 2014, 2:04 PM
Jeshi
la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limetoa taarifa ya
usalama barabarani kwa mwaka 2014 na kusema kuwa ajali za barabarani
nchini zimepungua kwa asilimia 38.2 mwaka huu ikilinganishwa
na mwaka jana, huku ajali nyingi zikisababishwa na kutofuata
sheria za barabarani.Je, nini kifanyike kumaliza kabisa
ajali za barabarani kwa mwaka ujao (2015)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment