Monday, 15 December 2014

Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE

Nafikiri kwa upepo ulivyo Rais hata angeweza kuwa na sababu za kumtetea Muhongo hawezi kuthubutu kufanya hivyo labda akishauriwa vibaya.

nafikiri kwa hali ilivyo na kwa kuzingatia kuwa wizara hiyo sana sana inahitaji utaalamu wa sheria maana inategemea uwekaji wa mikataba ya uwekezaji basi Dr. Harison G. Mwakyembe anaweza kumfaa rais akipewa uwaziri katika wizara ya Nishati na madini.

Kumfaa Rais: Nina maana kuwa kila mmoja anaona kuwa wananchi wamechoka. Wameanza kuonyesha hasira yao kwa Rais na Chama chake. Mabadiliko katika nafasi hiyo vinaweza kukipa chama nafasi ya kupumua na kujipanga. Mwakyembe anakubalika utendaji wake na ukweli kwa alisemalo. Hakuna harufu ya ufisadi ndani ya utendaji wake, hivyo anaweza kumfaa.
--------------------------------------------
On Tue, 12/16/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] RAIS KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO YA BUNGE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, December 16, 2014, 9:44 AM

RAIS
KIKWETE LEO KUTOLEA MAAMUZI MAPENDEKEZO YA PAC NA MAAZIMIO
YA BUNGE:Je!
Mhongo ataendelea Kuonekana Mwongo kwa Rais Kikwete au ni
Chuki za Madalali wa Gesi?Je!
Iwapo Mhongo ataondolewa kwenye nafasi aliyopo, unafikiri ni
Nani Mwenye Uwezo wa Kumrithi ili Wizara ya Nishati na
Madini iweze kujiendesha kwa Ufanisi?




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment