Kiwasila,
Punyeto sio lazima umuwazie/uimagine kuwa na mtu ila kufika Climax
On 12/16/14, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Punyeto ni safe kiafya. Lakini, ikiisha kuingia kisaikolojia kuwa ni mbaya
> una matatizo huwezi-hatoweza sex huyo mtu anayejiona mgonjwa kisaikolojia
> physically unaguwa gonjwa.
>
> Sex is more psychological than physiological ndio maana anaweza-punyeto
> (Ashakum). Anapofanya hivyo anamuwazia mtu au kitu ambacho hayupo nacho hapo
> na anafikia kilele. wapo watu katika mahusiano lakini hapo katika tendo kila
> mtu yupo katika pepo yake anafanyatendo lakini anamuwazia mtu mwingine hapo.
> Mke pepo yake na mume pia kila mtu siri yake na siku zinakwenda.Wapo wababa
> wenye mizigo ya kutisha na wapo wadada kamilifu kimaumbile mengine
> yanatisha lakini hawafaidi tendo wakiwa na wapenzi wao kutokana na sababu
> nyingi. Katika ndoa au mahusiano wapo watu wanaishi na wanawake frigid
> lakini mwanamke anazaa ila hafikii kilele na wanaume wasio na potency
> kamilifu lakini anamridhisha mke kuliko mwenye lizigo gumu kama mbao
> (ashakum) anampa mateso na mwisho cancer ya cervix kwa kukoroga vingi.
> Wapo wanaume maumbile ya siri yapo legelege lakini anapata ejaculation na
> kuweka mimba au kuzaa. Wapo wanaume ambao ana nguvu kubwa na potency lakini
> toka kuzaliwa ejaculation haijui na hatoi mbegu akatia mimba. Ana erection
> lakini hana climax. Ni mama tu akichoka anamwambia basi nimechoka anaacha
> na wapo akina mama kilele hawakijui anazuga tu. Ninatumia elimu yangu ya
> human sexuality and reproductive health na niliyosoma katika elimu ya
> culture and health na pia tafiti nchini kuachangia na kuandika haya.
> Hivyo basi-tusijidanganye jamani ndani ya mahusiano kuna mengi. Fikiria una
> mwanamke ambae ana sexual organs mbili na zote zinafanyakazi au una mwanaume
> ambaye ana matiti yaliyojaa lakini ni potent anakuzalisha au anazo mbili
> (shemale) ila ya kiume tu ndio inafanyakazi lakini mnapendana na mnaishi.
> Wazee wetu walifundisha mila za usiri na jamii ikazizingatia. Wapo wanaume
> ambao maumbile ya siri ni kama ya mtoto wa mwaka mmoja ameoa anafamilia.
> Kuzaa watoto anaweza lakini mahusiano kindoa yanakuwa na utata, mama
> anakwenda mihanjo ya siri. Mwingine ni hanithi lakini ana ndoa wanapendana,
> anawatoto (si wake) lakini jamii haijui ila wazazi na ndugu wanajua naye
> anajua wale watoto anaozaa mkewe ni wa nani nduguye gani au jamaa gani
> mtaani na wanaheshimiana, kula, kunywa pamoja na watoto wanafahamu baba ni
> huyo wao sio hao wengine. Wapo wanawake wazuri sana wanashape na sura ila
> hana vagina opening hata ikitengenezwa hospitali haikai ikadumu. na wapo
> wazuri sana lakini ndani ya mwili hana reproductive system (hama kizazi,
> mirija ya uzazi na mayai na hajawahi kuvunja ungo) umemuoa unampenda. baba
> inabidi azae nje. Wengine katika mila yao wanamleta mdogo wake aolewe humo
> awe anamzalia dadake. Vilema ni vingi huyo mnayemtaja hapa mbona ni nafuu
> sana. aondoe wasiwasi akilini kwake atafanikiwa.
>
> Samahani sana, kama nilivyosema ninatumia shule na elimu ya human sexuality
> and reproductive health, cultural and health and medical anthropology. Ila
> nimefanya tafiti ktk NGO yetu (WRDP NGO ipo Mlalakua opposite Kakobe
> Church), Nimeongezea na niliyoyaona katika research nilizofanya ktk NGO
> yetu. Nimehoji hao wenye mbili (she males), wenye matiti nao ni males, wenye
> matatizo ya homoni nyingi ni za kiume wanaota madevu ni wanawake lakini wana
> girlfriends; nimehoji gays, waliobakwa na kulawitiwa hapa hapa bongoland.
> Nimetafiti masuala ya ukeketaji na uzazi na kusaidia wamama wenye fistula na
> watoto waliobakwa kuwafikisha kwenye matibabu pamoja na hao gays and
> shemales.
>
> Punyeto ni nzuri inakusaidia kukwepa ukimwi na maradhi mengine yatokanayo na
> zinaa na matatizo ya akina mama wenye tamaa ambao watakupelekesha na
> kukumaliza kiuchumi na kiafya. Huna haja ya kuhaha kuomba msaada.
>
>
> On Tuesday, 16 December 2014, 7:28, Mrisho Choba
> <chobamrisho@gmail.com> wrote:
>
>
> huyu dogo anasema inasimama (akitumia viagra) mara moja, akipiga moja basi
> ndo mpaka kesho kutwa...
> 2014-12-11 19:19 GMT+03:00 Mrisho Choba <chobamrisho@gmail.com>:
> ntamchimba na kuleta mrejesho soon..
>
> On Thursday, 11 December 2014 19:11:59 UTC+3, Abby wrote:
> ukiacha supliments ameshawakutumia Viagra au dawa za namna hiyo akiwa na
> mwanamke haikusimama?
> 2014-12-10 19:42 GMT+03:00 Mrisho Chobari <choba...@gmail.com>:
>
>
>
> Ndugu wanaJamvi,
>
> Natumai mko salama na kila mtu yuko busy na mishemishe za kila siku. Na mimi
> pia niko na mishemishe za kawaida tu.
> Naomba msome hapa aafu kama kuna mtu anaweza saidia basi atoe maelekezo,
> ushauri, au hata tiba.
> Kuna ndugu mmoja (mwanamme) kwa kipindi kirefu tumekuwa tukimpigia kelele
> aoe (atafute jiko) lakini jamaa akawa na blah blah nyingi. lakini jamaa kwa
> usiri mkubwa na ujasiri ilibidi anieleze issue. issue yenyewe ni kuwa jamaa
> alipiga punyeto na ikamwathiri na kwa hiyo hawezi kusimamisha vizuri. Ina
> maana inakuwa soft na haiwezi kuwa strong kwa ajili ya sex. Kwa maelezo ni
> kuwa jamaa alienda hospital na akawaona wataalamu wakampa dawa i.e.
> supplements lakini hazikusaidia kitu. Pia huyu jamaa amekwenda kwa waganga
> wa jadi mbalimbali ila hajapata suluhu. Sasa jamaa amekata tamaa na anasema
> ni kama vile ameshamaliza maisha na ana aibu kubwa. nimekuwa namsaidia
> kutafuta dawa kwa baadhi ya waganga.
> Kwa ufupi mpaka sasa ivi jamaa hajapata suluhu na kwa kweli yuko na huzuni
> kubwa hata kwa monekano.
> Sasa kama kuna mtu ana suluhu au hata taarifa ya wapi mtaalamu/mganga
> anapatikana basi naomba tuwasiliane.
>
> Mrisho
>
> --
> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
> Abdallah Mrisho
> General Manager
> Global Publishers Ltd
> P. O. BOX 7534
> DAR ES SALAAM TANZANIA
> mobile: +255 713 839 363
> Please visit me at:
> www.abdallahmrisho.blogspot.com, www.globalpublishers.info
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to a topic in the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this topic, visit
> https://groups.google.com/d/topic/wanabidii/YfCgVu1uDMM/unsubscribe.
> To unsubscribe from this group and all its topics, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

--
J L Kamala
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment