Shida ni kukaribisha nafsi ya tatu. Tena ni vigumu kujua iliingilia wapi kati ya pande hizi mbili. Baada ya taraka chunguza maisha ya kila mmoja tutajua uharibifu ulianzia kwa nani. Umdhaniaye ndiye siye.
--------------------------------------------
On Fri, 12/19/14, Oksana Spice <worldngojobs@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, December 19, 2014, 5:41 PM
Mwimbaji
wa nyimbo za injili nchini Tz Flora mbasha jana alifungua
kesi ya madai mahakama ya kisutu jijini dar es Salaam Flora
ameiomba ivumje ndoa yeke na Emanuel mbasha na apewa talaka
na mbasha pamoja na mtoto amlee yeye mwenyewe poa wagawane
mali walizochuma pamoja pia aache kulitumia jina la
mbashaFlora
aliiambia mahakama kuwa alishafikilia sana kwa muda kuhusu
ndoa yake upendo ulipotea tangu mwaka jana alikuwa anamipiga
mbasha na kuninyanyasa na alishindwa kumpatia matibabu kesi hiyo namba 64 ya mwaka
huu ipo chini ya hakimu Devota kisoka wa mahakama hiyo kei
hiyo itaanza kysikilizwanimeamini mume sio ndugu yako na
mke sio ndugu yako au mpenzi sio ndugu yako yakiisha mapenzi
yanaisha hata raha mlizokuwa mnapeana hamkumbuki tena pia
hata kiapo mlichokula cha kusema nitavumilia ktk shida na
raha kifo tu kitatutenganisha na maneno hayo huwa
hayakumbukwi Mungu atupe uvumilivuWapendwa tunafunza
nini ndoa ya watu maalufu Flora mbasha na mume wake
ukizingatia wamekaa kwa muda mrefu wakiwa wanandoa wao ndio
kioo cha jamii
On Friday, December 19, 2014 5:36:33 PM UTC+3, James Patrick
wrote:Amwachae mumewe na
kuenda kwa mwanaume mwingine ni uzinzi, na amwachae
mkewe na kwenda kwa mwanamke mwingine naye azini
pia
On Thu, Dec 18, 2014
at 6:46 PM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>
wrote:NATAKA
TALAKA YANGU
Mwimbaji
wa Nyimbo za Injili Flora Mayala maarufu kama Flora Mbasha
amefungua kesi ya madai dhidi ya mume wake Emmanuel Mbasha
kuomba talaka na kugawana mali zote walizochuma wakiwa
katika ndoa.
unawashauri
nini hawa ndugu?,
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment