Friday, 19 December 2014

Re: [wanabidii] NATAKA TALAKA YANGU , FLORA MBASHA

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tz Flora mbasha jana alifungua kesi ya madai mahakama ya kisutu jijini dar es Salaam Flora ameiomba ivumje ndoa yeke na Emanuel mbasha na apewa talaka na mbasha pamoja na mtoto amlee yeye mwenyewe poa wagawane mali walizochuma pamoja pia aache kulitumia jina la mbasha

Flora aliiambia mahakama kuwa alishafikilia sana kwa muda kuhusu ndoa yake upendo ulipotea tangu mwaka jana alikuwa anamipiga mbasha na kuninyanyasa na alishindwa kumpatia matibabu kesi hiyo namba 64 ya mwaka huu ipo chini ya hakimu Devota kisoka wa mahakama hiyo kei hiyo itaanza kysikilizwa

nimeamini mume sio ndugu yako na mke sio ndugu yako au mpenzi sio ndugu yako yakiisha mapenzi yanaisha hata raha mlizokuwa mnapeana hamkumbuki tena pia hata kiapo mlichokula cha kusema nitavumilia ktk shida na raha kifo tu kitatutenganisha na maneno hayo huwa hayakumbukwi Mungu atupe uvumilivu

Wapendwa tunafunza nini ndoa ya watu maalufu Flora mbasha na mume wake ukizingatia wamekaa kwa muda mrefu wakiwa wanandoa wao ndio kioo cha jamii


On Friday, December 19, 2014 5:36:33 PM UTC+3, James Patrick wrote:
Amwachae mumewe na  kuenda kwa mwanaume mwingine ni uzinzi, na amwachae mkewe na kwenda kwa mwanamke mwingine naye azini pia

On Thu, Dec 18, 2014 at 6:46 PM, Abdalah Hamis <hami...@gmail.com> wrote:
NATAKA TALAKA YANGU
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Flora Mayala maarufu kama Flora Mbasha amefungua kesi ya madai dhidi ya mume wake Emmanuel Mbasha kuomba talaka na kugawana mali zote walizochuma wakiwa katika ndoa.
unawashauri nini hawa ndugu?,

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment