Sunday, 23 February 2014

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] MAPYA YAANZA KUIBUKA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

Dk Charles Msonde, Kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA, alisema alama ya ufaulu kwenye matokeo hayo ilikuwa ni D, lakini ili mwanafunzi awekwe kwenye fungu la waliofaulu ni lazima apate angalau C moja au D mbili kwenye masomo yake yote.

“Kuna watu wanasema, inakuwaje mimi mtoto wangu amepata point 42 lakini inaonekana kapata daraja la sifuri na wapo waliopata point 46 lakini wapo kwenye daraja la nne.

Mtu ukipata E zote ambazo ndiyo msingi wa kupata Point, utaonekana una point 42, na mwingne akapa F sita na C moja anaonekana amefaulu licha ya yeye kuwa na point 46,” alisema.

Anasema kuwa, hali hiyo inatokana na maelekezo ya sheria za mitihani namba 20, kifungu kidogo cha 6 (a) na (b).

“Kifungu hicho kinasema kuwa, mtu atakayefaulu mtihani wa kidato cha nne ni lazima awe na amefaulu angalau somo moja kwa daraja C ama masomo mawili kwa daraja D,” alisema.

RSM

2014-02-23 22:45 GMT-08:00 Stephen Kasambo <skasambo@gmail.com>:
ALAMA ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO

A ni 75 hadi 100; huu ni ufaulu uliojipambanua
B+ ni 60 hadi 74; huu ni ufaulu bora sana
B ni 50 hadi 59; huu ni ufaulu mzuri sana
C ni 40 hadi 49; huu ni ufaulu mzuri
D ni 30 hadi 39; huu ni ufaulu hafifu
E ni 20 hadi 29; huu ni ufaulu hafifu sana
F ni 0 hadi 19; huu ni ufaulu usioridhisha

Kimsingi alama yoyote kuanzia sifuri hadi mia moja ni ufaulu wa aina flani;

Madaraja yatakuwa kama ifuatavyo;

Division One = pointi 7 hadi 17
Division Two= pointi 18 hadi 24
Division Three = pointi 25 hadi 31
Division Four= pointi 32 hadi 47
Division Five/Zero = pointi 48 hadi 49

Yaani mtu akipata E mbili na F tano, ana division four; au akipata D moja na F sita atakuwa na division four.

2014-02-23 17:45 GMT+03:00 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>:
 
Penalty ya 'math' mbona siioni? Angalia hapa....mwenye 'F' tano ana div four, na mwenye 'F' mbili ana div zero!!

S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

2014-02-23 21:10 GMT+07:00 <bonnyluv84@hotmail.com>:

Na kwanini hiyo penati ya B/Math-F  aionekani kati ya Div I, II na III?

--
Sent from myMail app for Android

Sunday, 23 February 2014, 02:17PM +0300 from Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>:

TWENDE PAMOJA KATIKA UCHUNGUZI HUU,,!!!

NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA???

Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa.

Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa Div.0, na kuna wanafunzi wanapointi 46 wamepewa Div. IV,

Kuna waliopata points 43 wamepewa Div.IV, na wengine wamepata points 43 wamepewa Div. 0

hii sio kawaida ni zaidi ya uchakachuaji.

UCHAMBUZI KWA KIFUPI HUU HAPA,,!! Kuwa makini uone utofauti au usawa wa points ila utofauti wa ufaulu.

Na kwanini mabadiliko haya yaje, kwa manufaa ya nani baada ya Bunge kukataa upuuzi huu???

SHULE YA SEKONDARI WIGAMBA YA MBEYA MJINI- ENEO LA ISANGA- MFANO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

No. ya Mtahiniwa, Points. Division
S3133/0088 45 IV
S3133/0082 45 0
S3133/0092 42----------------- 0
S3133/0095 43----------------- 0
S3133/0099 44-----------------0
S3133/0100 42------------------IV
S3133/0101 43------------------IV
S3133/0103 44------------------IV

SHULE NYINGINE YA JINA LA MH. NCHIMBI
-------------------------------------------------------------------------------------------------

DR. NCHIMBI SEC. SCHOOL

S1877/0001 43--------------------IV
S1877/0003 43-------------------IV
S1877/0006 46-------------------IV
S1877/0007 46-------------------IV
S1877/0028 44------------------IV
S1877/0037 45------------------0

Ndugu Watanzania wenzangu, mimi naona haya ni maafa kuliko UKIMWI, NA TSUNAMI ukilinganisha na anguko hili.

Tujiulize,
na tutafakari kwa ufasaha kisha tutumie busara kusaidia Taifa letu
kwani linatufia kutokana na kuwafumbia macho mafisadi wakichakachua
matokeo ya uchaguzi, hadi matokeo ya elimu za ndugu zetu ambao sasa
wengine wanajichoma visu, na hata kujitia vitanzi kutokana na mafisadi
wachache wanaotesa Taifa letu.

MASWALI,,??

Ni kigezo kipi kimetumika kuchukua mfumo huu wa kupanga matokeo??
Mfumo huu umekuwa bora wapi, na katika nchi ipi iliyoendelea??
Je, utafiti gani ulifanyika ukaridhisha kuwa mtindo huu wa kupanga matokeo utakuwa na tija kwa taifa kuliko uliokuwepo awali?
Kama utafiti ulifanywa, nani alifanya na matokeo yake yaliripotiwa kwa nani?
Je, bunge la Jamhuri lilihusishwa na kuidhinisha utaratibu huu??

CCM INATUMALIZA KABISA, KABISA,,,!!! MUNGU ATUSAIDIE ILA NI MUHIMU SANA SOTE TUSHIRIKI KULETA MABADILIKO NCHINI PETU.

------------------------------------------------------------------------------------------------------
ONA
MATOKEO YA WANAFUNZI HAO NILIOWATOLEA MFANO KWA UNDANI UKIFUATA NAMBA
ZAO UONE UFAULU WA KILA MMOJA NA POINTS WALIZOPEWA NA UTOFAUTI MA
MADARAJA WALIYOPEWA.

Ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye tovuti ya NECTA uhakikishe ninachokisema hapa kisha tusaidiane kudai haki.
.................................................................................................................................

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
S1877 DR. NCHIMBI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 50 DIV-0 = 77
CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS

S1877/0001 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S1877/0002 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0003 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0004 F 28 III CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S1877/0005 F 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'B' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'E'

S1877/0006 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0007 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0008 F 24 II CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S1877/0009 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0010 F 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0011 F 47 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - '

S1877/0028 F 44 IV CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S1877/0037 F 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

--------------------------------------------------------------------------------------------------
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS

S3133 WIGAMBA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 10 DIV-III = 14 DIV-IV = 57 DIV-0 = 34

S3133/0082 M 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0083 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'E' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0084 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'E'

S3133/0085 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0086 M 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'F'

S3133/0087 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0089 M 40 IV CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'

S3133/0090 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0091 M 34 IV CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'E'

S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0093 M 39 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

S3133/0094 M 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0095 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0096 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0097 M 26 III CIV - 'C' HIST - 'E' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'B' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'B'

S3133/0098 M 32 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'C'

S3133/0099 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0100 M 42 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0101 M 43 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0102 M 37 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'

S3133/0103 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

S3133/0104 M 39 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'

Chanzo  http://amka-mtanzania.blogspot.com/2014/02/mapya-yaanza-kuibuka-kwa-matokeo-ya.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit  https://groups.google.com/groups/opt_out .

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

.

__,_._,___

0 comments:

Post a Comment