Sunday, 23 February 2014

Re: [wanabidii] Taarifa ya "onyo kali" kwa viongozi 6 waliohojiwa na Kamati ya CCM

EL kweli hana pesa kuliko watanzania wote ila yeye kuna kitu anakitafuta ndiyo maana anajitoa hivyo. hao wengine hawana shida na hicho anachotafuta Lowassa ndiyo maana hawachangishi na kutoa kwa design ya lowassa. Tunamshukuru sana Lowassa kwa kujali makundi yenye uhitaji ila swali ni kwa nini kachelewa sana kufanya mikakati hiyo?
Alikuwa waziri wa kawaida, amekuwa mbunge kwa siku nyingi na mwisho alikuwa waziri mkuu. Kwa kipindi chote hicho alikuwa na nafasi nzuri ya kuhitisha harambee nyingi na tungekwishafaidi sana.

Nakumbuka wakati akihimiza ujenzi wa shule baadhi ya watu walichapwa viboko, kuku, mbuzi na ng'ombe wao waliuzwa kwa lazima hiyo pia ilikuwa nafasi nzuri kwake kuhitisha harambee sijui kwa nini hakufanya hivyo kwa wakati huo. Ina maana watanzania kwa wakati walikuwa na uwezo na sasa umepungua au kitu gani? Au wazo ndo limemjia sasa hivi tu/

2014-02-23 10:35 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:
Mbona hatuhoji pesa za manji pale yanga, bhakresa pale chamazi, ndama mutoto wa ngombe pale bakurutu. Lowasa kutoa zaka inakuwa nongwa kweli?

Sidhani kama EL anatoa posa nyingi kivile ila anawapa wenye uhitaji wa kweli ndo maana wanapaza sauti zao kutoa shukurani na ndo nasisi tunajua, lakini wapo wanaojengea nyumba na kununulia magari nyumba ndogo hawa hatuwajui kwani wahanga hawana uthubutu wa kupaza sauti juu.

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>,<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 22, 2014 9:03:05 AM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Taarifa ya "onyo kali" kwa viongozi 6 waliohojiwa na Kamati ya CCM

Ndugu Elisa.. hongera kwa kuhoji pesa za lowasa na wanaomchangia ..lakini mbona huhoji pesa za membe za kuwapa laki mbili kila mwenyekiti wa ccm kuwa kazipataje?na hao wanaompa wanategemea nini?....,u know it is totally lack of sense kuhoji watanzania kumpa lowassa hela halafu hauhoji waarabu kumpa membe hela ..this is just more than pretending to be blind. .ngupula

 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

>Nakwaniniyeyenasiwanasiasawengine\/\nskwaninikuandamwanawaandishiwahabari?Napesaanazotoawanaomchangiawanategemeanini?Atawalipajenalini?OnFriday,February21,20142:25AM,lesianmollelaramakurias@yahoo.comwrote:hakunanahiyosisiasaOnThursday,February20,20147:42AM,"hosea.ndaki@gmail.com"hosea.ndaki@gmail.comwrote:KunaubayaganikwaELkufanyashughulizakijamiikamakushirikiharambeezaujenziwamashule?Tenamashuleanayoshirikinimashuleyawatubinafsinataasisizadini?Kilawikimakanisaninamisikitinitunahimizwakutoazakanakuchangiaujenziwanyumbazaibadanahatujasikiatukikemewanavyamavyetuvyasiasa,jamaniELendeleakushirikishughulizamaendeleokamasisiwenginenawananchitutajuaninanianaguswanaumasikiniwetu.----------SentfrommyNokiaphone------Originalmessage------From:Dekleinsonkimdekleinson@gmail.comTo:wanabidii@googlegroups.comDate:Thursday,February20,20149:44:06AMGMT+0300Subject:Re:[wanabidii]Taarifaya"onyokali"kwaviongozi6waliohojiwanaKamatiyaCCMUncleEDOmbonaataendeleaandamsurehakunawalumkoromea.Tusubiri.--SendEmailstowanabidii@googlegroups.comKujiondoaTumaEmailkwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.comUtapataEmailyakudhibitishaukishatumaDisclaimer:EveryonepostingtothisForumbearsthesoleresponsibilityforanylegalconsequencesofhisorherpostings,andhencestatementsandfactsmustbepresentedresponsibly.YourcontinuedmembershipsignifiesthatyouagreetothisdisclaimerandpledgetoabidebyourRulesandGuidelines.---YoureceivedthismessagebecauseyouaresubscribedtotheGoogleGroups"Wanabidii"group.Tounsubscribefromthisgroupandstopreceivingemailsfromit,sendanemailtowanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.Formoreoptions,visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.--SendEmailstowanabidii@googlegroups.comKujiondoaTumaEmailkwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.comUtapataEmailyakudhibitishaukishatumaDisclaimer:EveryonepostingtothisForumbearsthesoleresponsibilityforanylegalconsequencesofhisorherpostings,andhencestatementsandfactsmustbepresentedresponsibly.YourcontinuedmembershipsignifiesthatyouagreetothisdisclaimerandpledgetoabidebyourRulesandGuidelines.---YoureceivedthismessagebecauseyouaresubscribedtotheGoogleGroups"Wanabidii"group.Tounsubscribefromthisgroupandstopreceivingemailsfromit,sendanemailtowanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.Formoreoptions,visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.--SendEmailstowanabidii@googlegroups.comKujiondoaTumaEmailkwendawanabidii+unsubscribe@googlegroups.comUtapataEmailyakudhibitishaukishatumaDisclaimer:EveryonepostingtothisForumbearsthesoleresponsibilityforanylegalconsequencesofhisorherpostings,andhencestatementsandfactsmustbepresentedresponsibly.YourcontinuedmembershipsignifiesthatyouagreetothisdisclaimerandpledgetoabidebyourRulesandGuidelines.---Youreceived

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment