Saturday 22 February 2014

Re: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013

George

Inawezekana kuna kitu haukifahamu kutoka katika shule hizi zilizofanya vizuri. Iko hivi; shule hizi hazichukui motto mjinga au mwenye uwezo wa wastani. Kabla ya kujiunga na shule hizi watoto hufanyiwa mitihani na ufaulu wao uko juu sana.

Mfano kuna shule mbili kati ya hizi huchukua motto ambaye anaufaulu wa 90% kwenda hadi 100% katika mtihani wanaopewa wa kujiunga na shule hizo.

Pili kila muhula wana mitihani kiasi kwamba motto asipofikisha makisi za juu wanamkataa na kukutaka mzazi umtafutie shule nyingine mwanao.

Kwa hiyo hadi wanafika kufanya mitihani ya mwisho wana watoto wenye uwezo tu na wale wa wastani wote wameondolewa.

Changamoto inabakia kwa shule zile zinzopokea watoto hao waliokataliwa na shule hizi bora. Changamoto nyingine ni watoto wenyewe, mimi naona kama inabidi wazazi wabadilike na kuwa kusaidiana na waalimu kidogo kartika malezi na kuwa wakali ili watoto wasome.

Kwa shule za Kata kunahitajika uelewa mkubwa kwa wazazi ili kuweka mazingira mazuri kwa watoto wanapotoka shuleni wapate muda na mahali pazuri pa kujisomea, huenda tukapunguza tatizo hili la kufeli mitihani kwa kiasi hiki.
 
K.E.M.S.

On Saturday, 22 February 2014, 7:10, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Nawapongeza wamiliki wa shule hizo 10 bora na shule zote ambazo zimefanya vizuri! Kufaulu siyo 'impossible'!

On Sat, Feb 22, 2014 at 5:57 PM, John George <georgejn2000@gmail.com> wrote:
Mtoto wangu nampeleka shule za Saint! Nadhani ni fundisho kwa taasisi
za dini kuwekeza ktk elimu

On 2/22/14, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
> Hosea tutawekezaje fedha zote hizo kwa watoto wasio wetu ilhali wetu
> wanasoma Ulaya na wenye watoto wao katika shule hizo  wanabishana juu ya
> Serikali moja, mbili, tatu nne au kumi? Tuwaze juu ya hili!
>
> From: embegu@hotmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
> Date: Fri, 21 Feb 2014 21:24:21 +0000
>
>
>
>
> Sylvanus hongera. Na mimi nasubiri hongera kwa vile, in a way, zote top 10
> ni zangu!
>
> Date: Fri, 21 Feb 2014 12:56:41 -0800
> From: frkessy@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Napendekeza shule zote zibinafsishwe kama viwanda. Maana Serikali
> imeshindwa. Mwaonaje? Haina maana Serikali kujivuna ina shule Elfu kadhaa
> hali zoooote FFFFFF tupu! Wamejaribu kuchakachua Maksi lakini bado 0 Iko
> pale pale.
>
> Hata hivyo naomba mnipongeze maana shule yangu iko kati ya zile 10 za mwanzo
> si za mwisho!
>
>
>
>      On Friday, February 21, 2014 11:49 PM, "hosea.ndaki@gmail.com"
> <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>
>     Edger, sawa kabisa kama tunaweza nunua viti 600 kwa bil 8, tunaweza
> kabisa kutoa ruzuku kwa shule binafsi ili mzazi aamue mtoto wake asome shule
> ya umma au ya binafsi.
>
>  ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, February 21, 2014 8:09:15 PM GMT+0000
> Subject: RE: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
>
> Hosea, siyo kwamba Serikali iwekeze katika shule za binafsi? You just look
> at the top ten and say who is producing the brains of this country? Iwekeze
> katika namna na maana kwamba kwa vile wazazi wote wanalipa kodi, then wazazi
> wawe na uwezo wa kuchagua wapeleke mtoto wao wapi na
>  kokote watakakompeleka, basi wasilipe excessive ada kwa vile wanalipa kodi.
> Jamani tuwapongeze wenye shule za Saint... Saint.. Saint... tusiwabanie na
> tujifunze kutoka kwao.......!
>
>> Date: Fri, 21 Feb 2014 16:12:36 +0000
>> Subject: Re: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
>> From: hosea.ndaki@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Shule ya kwanza hadi ya kumi ni shule za private, napendekeza serikali
>> itoe motisha kwa wanafunzi hawa kwa kurudishiwa ada za shule walizotumia,
>> walimu wao wapewe bonus ya mishahara ya mwaka mmoja na kila shule ipewe
>> zawadi ya mil 50, hii itasaidia kuamsha ari ya kusoma kwa watoto, ari ya
>> kufundisha kwa walimu na ari ya wazazi kuwakazania watoto wao katika
>> elimu.
>>
>> Ni wakati
>  sasa serikali itambue mchango wa shule binafsi kwa kutoa ruzuku kwa watoto
> wanaosoma shule binafsi hasa katika shule zinazofaulisha vizuri.
>>
>>  ----------
>> Sent from my Nokia phone
>>
>> ------Original message------
>> From: Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>
>> To: "Mailing List" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Friday, February 21, 2014 10:39:11 PM GMT+0700
>> Subject: Re: [wanabidii] Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013
>>
>> Shule nyingi kuwa wanafunzi wameandikiwa *E, inamaanisha nini?
>>
>> Kuna baadhi za alama naona ni 'X', na 'E'...
>>
>> Pia shule nyingi kuna baadhi za wanafunzi matokeo yao ni 'withheld'.
>> Mfano
>> ni, Twiga secondary 34, Makongo Juu 32,
>  Makongo secondary 97, Tegeta
>> secondary 17, Azania 29, Kigamboni 2, Jamhuri 28, Benjamini William Mkapa
>> 30, Seth Benjamin 7, Ubungo Modern 26, n.k.
>>
>>
>> On Fri, Feb 21, 2014 at 9:11 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> > Shule 10 bora matokeo kidato cha nne 2013 ni:
>> >
>> > 1. St.Francis Girls (Mbeya)
>> > 2. Marian Boys (Pwani)
>> > 3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
>> > 4. Precious Blood (Arusha)
>> > 5. Canossa (Dar-es-salaam)
>> > 6. Marian Girls (Pwani)
>> > 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
>> > 8. Abbey (Mtwara)
>> > 9. Rosmini (Tanga)
>> > 10. DonBosco Seminary (Iringa)
>> >
>> > --
>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree
>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>  ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence
>  statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> For more options, visit
>  https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment