Ngupula
Mbona hatua hiyo itazua manunguniko makubwa kwa ndugu zangu waislamu ambao siku zote wanalia na MoU kati ya makanisa na serikali katika kutoa huduma ya afya kwenye hosptali za makanisa. 2014-02-22 15:57 GMT+03:00 ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
Nikiangalia jinsi trend ya performance ya shule zinazomilikiwa na serikali mwaka hadi mwaka nashawishika kuishauri serikali ifanye ubinafsishaji wa shule hizo...na yenyewe iangalie ni kwa jinsi gani inaweza kuintervene haswa katika kuchangia gharama za uendeshaji..mfano utoaji wa ruzuku na kuwa na special recognition ya shule,wanafunzi na walimu wanaofanya vizuri..pia ...ruzuku hiyo inaweza tolewa kutokana na idadi ya wanafunzi katika shule hiyo au ufaulu wa wanafunzi...lakini wakati serikali inabinafsisha shule hizo....shule zote ilizozitafisha izirudishe kwa wenye nazo free of charge na ikibidi itoe pia kiwango fulani cha kuzikarabati....binafsi sipendezwi sana na dhana ya elimu bure....bali tuwe na elimu nga gharama lakini yenye kulipa..nawasilisha..ngupula
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment