Mdogo wangu Nassari
Jitahidi kuyasahau japo yanauma, maana zikianza kupigwa kura za kutoa maamuzi juu ya vifungu kadhaa ndani ya rasimu kikiwemo cha muundo wa serikali utapata presha. Wengi wao wamepelekwa kupitisha mazabezabe kama hayo na kulipwa posho kubwa kama hizo unaposema posho ni kubwa itabidi uishi kwa taadhari. Jitahidi kulipigia kelele sisi huku tutakuelewa lakini kundi kubwa humo ndani ya bunge nafikiri unajua ni akina " tia mchuzi kwangu pakavu" yaani wachumia tumbo

2014-02-20 23:09 GMT+03:00 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>:
na ndio maaana tunasema wabunge wetu weeengi ni mafisadi na wachumia tumbo.....iweje waweze kuwaita wengine mafisadi wakati nao ni mafisadi? nassari thanx kwa kuliona hil;o na lipiganie sasa kaka
On Thursday, February 20, 2014 10:54 AM, Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com> wrote:
----- Forwarded Message -----
Safari hii Wabunge Wapigwe mawe, huu ni upumbavu wanaotaka kuuleta. Akina sie tunashindia Mihogo ya kuchoma, kisa kipato kidogo wao wanataka laki tatu per day?
2014-02-20 14:49 GMT+00:00 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:MSIMAMO WANGU, SAKATA LA POSHO BUNGENI.
Nimeona nukuu kwenye gazeti la nipashe la leo. Kumsingi ike nujuu si ya kwangu ni nineshazungumza na Mhariri wa jipashe Bw. Kwayu.
Sijui kama nukuu ile imewekwa kwa kukosea au kwa makusudi, wameahidi kurekebisha makosa lakini ni vyema jikaweka msimamo wangu hapa.
Kwa hali halisi ya maisha ya kawaida ya Mtanzania wa shilingi laki 3 ni fedha nyingi. Na taasisi ya Bunge ndiyo inayopaswa kuwqpigania hawa watanzania ili vipato vyao vipande lakini taasisi hii siku zote imekubali kuwa upande wa serikali badala ya kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi.
Fedha hiyo bado ni nyingi mno kama kipato cha mtanzania kinabaki kuwa hapo kilipo.
Kabla ya kupigania ongezeko ambalo linaweza wakati mwingine likawa na mantiki, ni vyema wabunge wakaifanya kwanza kazi yao ya kupigania maisha bora na maslahi bora kwa wananchi hiki hiyo mantiki yao iweze kuonekana. Itherwise na sisi wabunge tutakuwa ni sehemu ya hali ngumu ya maisha ya watanzania ambao bado wanajifungulia sakafuni na hawana maji safi ya kunywa.
Joshua Nassari (MB) na mjumbe wa bunge maalum la katiba.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--

0 comments:
Post a Comment