Tanzania mtu kuwa na umri mkubwa na elimu haina maana yoyote.
Watoto wakifa wamerogwa, vua isiponyesha kuna bibi mchawi.
Pole ndugu wa ubaguzi.
--------------------------------------------
On Wed, 2/5/14, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, February 5, 2014, 7:32 AM
Ndugu yangu
Muganda
Utatumia nguvu nyingi sana kuikanusha dhana na
asili hii ya CDM (Udini, Ukabila na Ukanda na sera
isiyosemwa ya Ubebari) lakini sidhani kama utaweza,
unless umewashauri waachane na hizo sera, vinginevyo ndivyo
walivyo tangu waanze miaka 22 iliyopita hadi leo na huenda
wameapa kuendelea nazo.
Na unajua ni kwa nini ema; ni kwa kuwa wanaona
wafuasi wao wanazipenda. Huenda kama wanachama wao
wangechukua jukumu la kuwaeleza waachane nazo wangeacha. Ni
sera zenye mafanikio kwao.
Wewe ni mgeni kwenye chama hiki waulize
watangulizi (hasa akina Mwigamba - kama hutaona kama
nimekutukana lakini) wenzako. Sisi yetu macho kaka
yangu. K.E.M.S.
On Tuesday, 4
February 2014, 12:23, Emmanuel Muganda
<emuganda@gmail.com> wrote:
Huyu naona ndiye anayeongozwa
kwa ukabila.em
Sent from my iPhone
On Feb 4, 2014, at 7:08 AM, MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>
wrote:
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya
Iramba aachia ngazi:
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
wilayani Iramba ndugu Joseph Alfayo ameachia ngazi na kukaa
pembeni,baada ya kubaini kuwa CHADEMA ni chama cha
ukanda,udini na ukabila.
Anasema amejiondoa baada ya kusikitishwa kwa
kufukuzwa uanachama ndugu Kitila Mkumbo anayetoka Wilaya
yake...Kwa maneno machache Alfayo amenukuliwa
akisema,
"NIMEJIONDOA CHADEMA,NAMUUNGA MKONO MWIGULU
NCHEMBA AENDELEE KUWA MBUNGE,NAJIUZULU NAFASI YA UKATIBU
CHADEMA IRAMBA,CHADEMA KUNA UKANDA, UKABILA NA
UFISADI"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment