Monday, 24 February 2014

Re: Re[2]: [wanabidii] MAPYA YAANZA KUIBUKA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

Tusipende kujidanganya hapo hakuna cha tatizo la kiufundi wala nini, tangu sanaa ilipoanza kuchakachua madaraja na mpangilio wa ufaulu ulitegemea kutakuwa na matokeo mazuri? walifanya usanii kwelikweli tena bila kufikiri hatua kadhaa mbele. Mchakato au maamuzi ya kuchakachua naona kabisa yalikua haramu so Haramu haizai halali bali huzaa haramu 

On Sunday, February 23, 2014 7:14 PM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Nataka kuamini kwamba wahusika hawajaliona hili na mtu mwenye alama 45 anapewa div 4 halafu mwenye alama 42 anapewa div 0.

2014-02-23 22:57 GMT+07:00 Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com>:
Sio tatizo la kiufundi hilo Mwema, hiyo ni BRN tu! Katika BRN ya elimu, hatutaki watoto wajinyonge tena!

2014-02-23 17:55 GMT+03:00 Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>:

Kutakuwa na tatizo la kiufundi.

2014-02-23 21:51 GMT+07:00 <bonnyluv84@hotmail.com>:

Nakubaliana hapo kuna mkanganyiko.
--
Sent from myMail app for Android
Sunday, 23 February 2014, 05:45PM +0300 from Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com>:
Penalty ya 'math' mbona siioni? Angalia hapa....mwenye 'F' tano ana div four, na mwenye 'F' mbili ana div zero!!
S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
2014-02-23 21:10 GMT+07:00  < bonnyluv84@hotmail.com > :
>Na kwanini hiyo penati ya B/Math-F  aionekani kati ya Div I, II na III?
>--
>Sent from  myMail app for Android
>Sunday, 23 February 2014, 02:17PM +0300 from Mwema Felix < mwema.felix@gmail.com >:
>TWENDE PAMOJA KATIKA UCHUNGUZI HUU,,!!!
>NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA???
>Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa.
>Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa Div.0, na kuna wanafunzi wanapointi 46 wamepewa Div. IV,
>Kuna waliopata points 43 wamepewa Div.IV, na wengine wamepata points 43 wamepewa Div. 0
>hii sio kawaida ni zaidi ya uchakachuaji.
>UCHAMBUZI KWA KIFUPI HUU HAPA,,!! Kuwa makini uone utofauti au usawa wa points ila utofauti wa ufaulu.
>Na kwanini mabadiliko haya yaje, kwa manufaa ya nani baada ya Bunge kukataa upuuzi huu???
>SHULE YA SEKONDARI WIGAMBA YA MBEYA MJINI- ENEO LA ISANGA- MFANO WA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
>No. ya Mtahiniwa, Points. Division
>S3133/0088 45 IV
>S3133/0082 45 0
>S3133/0092 42----------------- 0
>S3133/0095 43----------------- 0
>S3133/0099 44-----------------0
>S3133/0100 42------------------IV
>S3133/0101 43------------------IV
>S3133/0103 44------------------IV
>SHULE NYINGINE YA JINA LA MH. NCHIMBI
>-------------------------------------------------------------------------------------------------
>DR. NCHIMBI SEC. SCHOOL
>S1877/0001 43--------------------IV
>S1877/0003 43-------------------IV
>S1877/0006 46-------------------IV
>S1877/0007 46-------------------IV
>S1877/0028 44------------------IV
>S1877/0037 45------------------0
>Ndugu Watanzania wenzangu, mimi naona haya ni maafa kuliko UKIMWI, NA TSUNAMI ukilinganisha na anguko hili.
>Tujiulize,
>na tutafakari kwa ufasaha kisha tutumie busara kusaidia Taifa letu
>kwani linatufia kutokana na kuwafumbia macho mafisadi wakichakachua
>matokeo ya uchaguzi, hadi matokeo ya elimu za ndugu zetu ambao sasa
>wengine wanajichoma visu, na hata kujitia vitanzi kutokana na mafisadi
>wachache wanaotesa Taifa letu.
>MASWALI,,??
>Ni kigezo kipi kimetumika kuchukua mfumo huu wa kupanga matokeo??
>Mfumo huu umekuwa bora wapi, na katika nchi ipi iliyoendelea??
>Je, utafiti gani ulifanyika ukaridhisha kuwa mtindo huu wa kupanga matokeo utakuwa na tija kwa taifa kuliko uliokuwepo awali?
>Kama utafiti ulifanywa, nani alifanya na matokeo yake yaliripotiwa kwa nani?
>Je, bunge la Jamhuri lilihusishwa na kuidhinisha utaratibu huu??
>CCM INATUMALIZA KABISA, KABISA,,,!!! MUNGU ATUSAIDIE ILA NI MUHIMU SANA SOTE TUSHIRIKI KULETA MABADILIKO NCHINI PETU.
>------------------------------------------------------------------------------------------------------
>ONA
>MATOKEO YA WANAFUNZI HAO NILIOWATOLEA MFANO KWA UNDANI UKIFUATA NAMBA
>ZAO UONE UFAULU WA KILA MMOJA NA POINTS WALIZOPEWA NA UTOFAUTI MA
>MADARAJA WALIYOPEWA.
>Ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye tovuti ya NECTA uhakikishe ninachokisema hapa kisha tusaidiane kudai haki.
>.................................................................................................................................
>NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
>CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
>S1877 DR. NCHIMBI SECONDARY SCHOOL
>DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 50 DIV-0 = 77
>CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS
>S1877/0001 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
>S1877/0002 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0003 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0004 F 28 III CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'
>S1877/0005 F 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'B' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'E'
>S1877/0006 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0007 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0008 F 24 II CIV - 'C' HIST - 'B' GEO - 'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
>S1877/0009 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0010 F 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0011 F 47 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - '
>S1877/0028 F 44 IV CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S1877/0037 F 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>--------------------------------------------------------------------------------------------------
>NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
>CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
>S3133 WIGAMBA SECONDARY SCHOOL
>DIV-I = 1 DIV-II = 10 DIV-III = 14 DIV-IV = 57 DIV-0 = 34
>S3133/0082 M 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0083 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'E' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
>S3133/0084 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'E'
>S3133/0085 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0086 M 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' PHY - 'F' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'F'
>S3133/0087 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0088 M 45 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0089 M 40 IV CIV - 'D' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'E'
>S3133/0090 M 29 III CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'B' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'E'
>S3133/0091 M 34 IV CIV - 'E' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'C' B/MATH - 'E'
>S3133/0092 M 42 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
>S3133/0093 M 39 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'E' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
>S3133/0094 M 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0095 M 43 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0096 M 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0097 M 26 III CIV - 'C' HIST - 'E' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'B' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'B'
>S3133/0098 M 32 IV CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'C'
>S3133/0099 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0100 M 42 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0101 M 43 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0102 M 37 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
>S3133/0103 M 44 0 CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
>S3133/0104 M 39 IV CIV - 'D' HIST - 'E' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
>Chanzo   http://amka-mtanzania.blogspot.com/2014/02/mapya-yaanza-kuibuka-kwa-matokeo-ya.html
>
>--
>Send Emails to  wanabidii@googlegroups.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com .
>For more options, visit   https://groups.google.com/groups/opt_out .

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit  https://groups.google.com/groups/opt_out .

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

0 comments:

Post a Comment