Tuesday, 25 February 2014

Re: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

Bora huyo aljyejitokeza na sasa anajadiliwa kwani wengi wanatarajia kujitokeza kama mvua hapo baadaye hawatoi mywanya wa kuchambuliwa

On Feb 23, 2014 7:39 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Ndugu Mndeme comments za hao au zetu kuhusu uzoefu wa January ni kwa nafasi ya urais. Hivyo vijana wote uliowataja tunawaona ktk nafasi za ubunge na nyingine kwanza. Huwezi kumjaribu mtu kwa nafasi ya juu kama hiyo.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Mathew Mndeme <mathewmndeme@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, February 22, 2014 10:52:47 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

Yona na wengine,

Kama alivyosema Nico, January kama raia w anchi hii anaweza kugombea uras
hivyo huenda naye anautaka. Na hadi afikie maamuzi au mawazo hayo, lazima
kuna vitu kadhaa ametizama yeye kama mtu binafsi na wale ambao huenda
wanamshauri na kuona anaweza kujitosa. Ila natofautiana na mawazo ya Nico
na Ngulupa katika hoja kuu ya email yako.

Bila kutoa maoni yangu kuhusu kufaa au kutokufaa kwake, ninaona kuna tatizo
tunapohukumu watu kama hawa pale tunapokua na definitions zetu au
per-conceived ideas/perception za nini chatakiwa kwa mtu kustahili kuwa
kiongozi wa nchi.  Nimeona watu kadhaa wanapozungumzia watu aina ya
January, wanaishia kuhukumu uzoefu, umri, na mafanikio au mabadiliko ambayo
kayaleta hadi sasa. Sina hakika kama huu ni mtazamo sahihi sana maana kama
ndio msingi wa kupata viongozi, basi tusingekua na kiongozi katika ngazi
yeyote ile.

Labda tujiulize maswali; vijana kama akina Nassari Mbunge wa Arumeru,
Mnyika wa Ubungo, Lusinde wa Mtera, Mwigulu wa Iramba, Zitto wa Kigoma
North na wengine wengi walikua wana uzoefu gani au walikuwa wamefanikiwa
nini hadi kupewa nafasi zile za uongozi? Nani aliwajua vema kabla ya nafasi
walizonazo? Je baadhi ya vijana hawa hawafanyi kazi nzuri kuliko maprofesa
na veterani wengine wanaozeekea kule bungeni? Viongozi kama DJ aliyekua
rais wa Madagasca walikuwa wana uzoefu gani au wamefanikisha nini hadi watu
wakawaamini kuwapa uongozi? Cameroon na Obama walikua wamefanya nini cha
tofauti kama watu binafsi kabla ya kufikia ofisi walizoshika sasa? Kijana
Malema wa SA ambaye anawaumiza kichwa akina JZ sasa ana nini chakuonesha
kama mafanikio?

Pili, tunapohukumu watu kwa perfomance yao kama sehemu ya mchakato wa
kuwaamini kuwa viongozi wetu, tujipe pia nafasi ya kujiuliza je walipokua
wanalikua na mwanya kiasi gani wa kufanya mambo na kuonesha mabadiliko
yenye ushawishi kwa kiasi tunachotaka kuona? Kwa mfano, nadhani nafasi
aliyonayo January kwa sasa kama naibu waziri, kwa mfumo wa utendaji wa
wizara ulioko, sioni ukimpa sana nafasi ya yeye kuonesha utendaji wake na
mafanikio ya kiuongozi. Binafsi ninaona alipokua mbunge pekee, tuliweza
kuuona utu wake, uwezo wake, nia yake na maono yake kuliko ilivyo sasa.
Nakumbuka alivyokua anaongoza kamati ya Nishati na madini; nakumbuka
alivyosimama bungeni bial uchama sana akiwa na hoja za makazi na issue
nzima ya mortgaging na ajira kwa vijana kuliko ilivyo sasa. Labda
tungekwenda pia kwa watu wa Bumbuli tuwaulize je mbunge wao ambaye ni kama
mjukuu kwa mbunge aliuyemtangulia, kawasaidia nini na kafanya nini kama
kiongozi kubadilisha maisha yao?

Point yangu ya msingi ni kuwa, huwezi kupima mafanikio ya kiuongozi bila
kupema nafasi, mamlaka na mahali pa kuonesha uwezo wako. Nadhani kuna mambo
ya msingi zaidi ya kuyatizama katika kumuaminisha mtu uongozi wa nchi yetu
katika ngazi yeyote ile ambayo yana nguvu kuliko umri, uzoefu, na mafanikio
ambayo keshayapata kama kiongozi. Kwa kusema hivi, simaanishi napuuza nguvu
na nafasi ya uzoefu katika uongozi.

Jambo hili la kujikita kuwapa watu nafasi za uongozi kwa vile tu wana sifa
ambazo sisi tumeziona kuwa ndio msingi wa uwezo wao lina athari kubwa sana
kwenye nchi yetu.

   1. Kwanza, limewafanya watu wengi sana wenye nia njema na mawazo mazuri
   kabisa ambayo huenda yangebadili hali iliyoko, kuogopa sana kuingia kwenye
   siasa au uongozi wa ushindani, wakiogopa kuambiwa waoneshe hizo sifa na
   wasiwe nazo au zisiwe dhahiri kama ilivyotegemewa. Imewafanya wale
   waliotangulia hata kama ni kwa kubebwa ndio wabaki kwenye mfumo kwa sababu
   tu wao wanajulika
   2. Pili, limezuia mawazo mapya na changamoto mpya ambazo ni mzingi sana
   katika kuleta mabadiliko ya kweli
   3. Tayu, limefanya uongozi uwe wa kujuana zaidi na wanaojulikana ndio
   wanaobaki kwenye uongozi hata bula tija
   4. Nne, tumebaki kukumbatia wazee au majina fulani kwa miaka nenda rudi
   huku tukiwa na malalamiko na maumivu yaleyale
   5. Tano, imechangia sana kujenga taifa la watu waoga kuleta
   mabadiliko...waoga kufanya kitu cha tofauti na mazoea yetu. Sio tu vijana
   kama akina Makamba na wengine wanaogopwa kupewa nafasi kwenye vyama vyao
   kwa kuwa eti hawana uzoefu, bali hili limechangia sana hata katika kuogopa
   kukubali vyama pinzani kuwa vinaweza kubadilisha hali iliyoko...huku
   tukilemewa na msemo wa zimwi likujualo halikukuli likakwishwa (sikumbuki
   vema maneno halisi)

Nirudie tu kusema kuwa, tuna vigezo vingi vingine vya msingi ambavyo
twaweza kuvitumia kuhukumu aina ya watu wanaotaka kutuongoza zaidi ya
uzoefu, umri, na mafanikio ambayo mwombaji keshayapa kabla ya nafasi
anayoitaka sasa.

Nitarudi nikipata upenyo
*MM*

2014-02-22 18:21 GMT+03:00 Nico Eatlawe <eatlawe@yahoo.com>:

> Yona na wengine,
>
> Kugombea nafasi yoyote ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania maadam anavyo
> vigezo vinavyotakiwa. Kwa msingi huo, mimi sioni tatizo kwa Makamba
> kugombea urais. Wasi wasi wangu tu kuwa anaweza kuwa anatamani ikulu kwa
> vile alikuwa karibu na JK bila kujua ugumu wa hiyo nafasi yaani kuongoza
> zaidi ya milioni 43. Inahitaji uzoevu na ukomavu wa namna fulani mtu
> kuongoza. Siyo kuwa na digrii au kuwa mbunge inamtosheleza mtu kugombea
> urais maana siyo kila anayepata ubunge ni kiongozi kweli maana tunaona
> wengi ni wafuasi tu wala hawana ushawishi wala ajenda yoyote zaidi ya
> maslahi yao binafsi.
>
> Pengine tuangalie kazi yake hadi leo. Ana ushawishi gani? Ameleta kipya
> gani? Tunaona vijana akina Zitto wakijaribu kufanya vitu hata kama
> wanaonekana wana udhaifu. Udhaifu ni ubinadamu ila kazi anafanya. Kwa
> upande wa CCM mimi sijaona kijana mwenye ushawishi na maono ukiacha wazee
> wenye uzoevu.
>
>
>   On Saturday, 22 February 2014, 12:20, Yona Fares Maro <
> oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> Ndugu zangu ,
>
> Huyu kijana mwenzetu ameonyesha nia ya Kuutaka urais wa Tanzania ,
> kuthibitisha hilo amehojiwa na kamati kuu ya CCM na akapewa adhabu ya miezi
> 12 .
>
> Je kuna lolote la kujadili kuhusu Mhe January Makamba ? Au tumwache tu kwa
> sababu hatumjui na hatutaki kumjua zaidi ?
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment