Sunday, 23 February 2014

Re: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA

"experience is the teacher for the fools" anonymous

On 24/02/2014, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Uzoefu una mchango wake japo siyo lazima utokane na madaraka/uongozi
> serikalini
> On Feb 23, 2014 11:42 PM, "Mathew Mndeme" <mathewmndeme@gmail.com> wrote:
>
>> Bariki,
>>
>> Sijajua sana hapa concept ya uzoefu tunayoizungumzia ni nini. Ni kupewa
>> au
>> kuwa kwenye madaraka na kuwa hapo kw amuda fulani au ni mafanikio
>> yaliyodhahiri katika nafasi uliyokua nayo. Sio mara zote uzoefu unakua
>> nguvu ya mafanikio ya uongozi. Mara nyingi hiki tunachokiita uzoefu,
>> kimetumika kuharibu zaidi watu wapewapo madaraka.
>>
>> Kama huu ndio mtizamo wa kuamini watu kuwapa nafasi ya juu ya uongozi,
>> basi tutegemee Tanzania kuongozwa na watu walewale ambao ndio tunaamini
>> uzoefu wao; tutegemee mawazo yaleyale; tutegemee matatizo yaleyale na
>> kuishi maisha yaleyale. Maana wako wanaoweza kujenga hoja kuwa anayeweza
>> kumrithi Kikwete lazima awe ni mtu ambaye amekua waziri mkuu wake; au mtu
>> wake wa katibu , au ameonja urais wa Zanzibar na mengine ya aina hiyo.
>>
>> Mimi nadhani twaweza kwenda mbele zaidi tukawa na vigezo vizuri zaidi vya
>> kumuhukumu mtu anayetaka kutuongoza kama nilivyotangulia kusema kwenye
>> email yangu.
>>
>> MM
>>
>>
>>
>>
>>
>> 2014-02-23 23:32 GMT+03:00 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
>>
>>> Nafikiri Mwinyi na waliomfuata wanatofautiana kwa kuwango cha juu.
>>> Aliingia kwenye uongozi wa JMT akiwa na Uzoefu wa mwaka mzima kama Rais
>>> wa
>>> SMZ
>>> On Feb 23, 2014 11:29 PM, "Mathew Mndeme" <mathewmndeme@gmail.com>
>>> wrote:
>>>
>>>> Kaka Elisa,
>>>>
>>>> Nitaendelea na nilipoishia jana.
>>>>
>>>> Ila kutotkana na ulichosema hapa naomba nikuulize. Tulipomchagua Mwinyi
>>>> kuwa Rais, alikua amefanya nini kama landmark ya mafanikio ya
>>>> kiuongozi?
>>>> Tulipomchagua Mkapa, ni watanzania wangapi walikua wanafahamu utendaji
>>>> wake? Unakumbuka Mwalimu Nyerere alivyopata shida hadi kujipa jukumu la
>>>> kuzunguka akimtambulisha?
>>>>
>>>> Tulipomchagua Rais Kikwete tulipewa ushuhuda gani wa mafanikio yake
>>>> ambao ndio ulitushawishi kumchagua kwa zaidi ya 80% za kura kuwa Rais?
>>>>
>>>> Uelewa wangu mdogo ni kuwa Urais ni taasisi...much more organized,
>>>> structure and capacitated than any other office of the land.
>>>> Hatumchagui
>>>> kiongozi kwenye ile office kwa sababu ya utimilifu wake au mafanikio
>>>> yake
>>>> binafsi. Bali kwa sababu tuna hakika ya uwezo wake wa kutuongoza kama
>>>> taifa
>>>> akiisimamia katiba ya nchi, sheria zilizoko na maadili yanayotuongoza
>>>> kama
>>>> taifa.
>>>>
>>>> Ngoja niandike nilichokusudia jana. Nitarudi.
>>>>
>>>> *MM*
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> 2014-02-23 19:39 GMT+03:00 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>:
>>>>
>>>>> Ndugu Mndeme comments za hao au zetu kuhusu uzoefu wa January ni kwa
>>>>> nafasi ya urais. Hivyo vijana wote uliowataja tunawaona ktk nafasi za
>>>>> ubunge na nyingine kwanza. Huwezi kumjaribu mtu kwa nafasi ya juu kama
>>>>> hiyo.
>>>>>
>>>>> ----------
>>>>> Sent from my Nokia Phone
>>>>>
>>>>> ------Original message------
>>>>> From: Mathew Mndeme <mathewmndeme@gmail.com>
>>>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Date: Saturday, February 22, 2014 10:52:47 PM GMT+0300
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - JANUARY YUSUF MAKAMBA
>>>>>
>>>>> Yona na wengine,
>>>>>
>>>>> Kama alivyosema Nico, January kama raia w anchi hii anaweza kugombea
>>>>> uras
>>>>> hivyo huenda naye anautaka. Na hadi afikie maamuzi au mawazo hayo,
>>>>> lazima
>>>>> kuna vitu kadhaa ametizama yeye kama mtu binafsi na wale ambao huenda
>>>>> wanamshauri na kuona anaweza kujitosa. Ila natofautiana na mawazo ya
>>>>> Nico
>>>>> na Ngulupa katika hoja kuu ya email yako.
>>>>>
>>>>> Bila kutoa maoni yangu kuhusu kufaa au kutokufaa kwake, ninaona kuna
>>>>> tatizo
>>>>> tunapohukumu watu kama hawa pale tunapokua na definitions zetu au
>>>>> per-conceived ideas/perception za nini chatakiwa kwa mtu kustahili
>>>>> kuwa
>>>>> kiongozi wa nchi. Nimeona watu kadhaa wanapozungumzia watu aina ya
>>>>> January, wanaishia kuhukumu uzoefu, umri, na mafanikio au mabadiliko
>>>>> ambayo
>>>>> kayaleta hadi sasa. Sina hakika kama huu ni mtazamo sahihi sana maana
>>>>> kama
>>>>> ndio msingi wa kupata viongozi, basi tusingekua na kiongozi katika
>>>>> ngazi
>>>>> yeyote ile.
>>>>>
>>>>> Labda tujiulize maswali; vijana kama akina Nassari Mbunge wa Arumeru,
>>>>> Mnyika wa Ubungo, Lusinde wa Mtera, Mwigulu wa Iramba, Zitto wa Kigoma
>>>>> North na wengine wengi walikua wana uzoefu gani au walikuwa
>>>>> wamefanikiwa
>>>>> nini hadi kupewa nafasi zile za uongozi? Nani aliwajua vema kabla ya
>>>>> nafasi
>>>>> walizonazo? Je baadhi ya vijana hawa hawafanyi kazi nzuri kuliko
>>>>> maprofesa
>>>>> na veterani wengine wanaozeekea kule bungeni? Viongozi kama DJ
>>>>> aliyekua
>>>>> rais wa Madagasca walikuwa wana uzoefu gani au wamefanikisha nini hadi
>>>>> watu
>>>>> wakawaamini kuwapa uongozi? Cameroon na Obama walikua wamefanya nini
>>>>> cha
>>>>> tofauti kama watu binafsi kabla ya kufikia ofisi walizoshika sasa?
>>>>> Kijana
>>>>> Malema wa SA ambaye anawaumiza kichwa akina JZ sasa ana nini
>>>>> chakuonesha
>>>>> kama mafanikio?
>>>>>
>>>>> Pili, tunapohukumu watu kwa perfomance yao kama sehemu ya mchakato wa
>>>>> kuwaamini kuwa viongozi wetu, tujipe pia nafasi ya kujiuliza je
>>>>> walipokua
>>>>> wanalikua na mwanya kiasi gani wa kufanya mambo na kuonesha mabadiliko
>>>>> yenye ushawishi kwa kiasi tunachotaka kuona? Kwa mfano, nadhani nafasi
>>>>> aliyonayo January kwa sasa kama naibu waziri, kwa mfumo wa utendaji wa
>>>>> wizara ulioko, sioni ukimpa sana nafasi ya yeye kuonesha utendaji wake
>>>>> na
>>>>> mafanikio ya kiuongozi. Binafsi ninaona alipokua mbunge pekee,
>>>>> tuliweza
>>>>> kuuona utu wake, uwezo wake, nia yake na maono yake kuliko ilivyo
>>>>> sasa.
>>>>> Nakumbuka alivyokua anaongoza kamati ya Nishati na madini; nakumbuka
>>>>> alivyosimama bungeni bial uchama sana akiwa na hoja za makazi na issue
>>>>> nzima ya mortgaging na ajira kwa vijana kuliko ilivyo sasa. Labda
>>>>> tungekwenda pia kwa watu wa Bumbuli tuwaulize je mbunge wao ambaye ni
>>>>> kama
>>>>> mjukuu kwa mbunge aliuyemtangulia, kawasaidia nini na kafanya nini
>>>>> kama
>>>>> kiongozi kubadilisha maisha yao?
>>>>>
>>>>> Point yangu ya msingi ni kuwa, huwezi kupima mafanikio ya kiuongozi
>>>>> bila
>>>>> kupema nafasi, mamlaka na mahali pa kuonesha uwezo wako. Nadhani kuna
>>>>> mambo
>>>>> ya msingi zaidi ya kuyatizama katika kumuaminisha mtu uongozi wa nchi
>>>>> yetu
>>>>> katika ngazi yeyote ile ambayo yana nguvu kuliko umri, uzoefu, na
>>>>> mafanikio
>>>>> ambayo keshayapata kama kiongozi. Kwa kusema hivi, simaanishi napuuza
>>>>> nguvu
>>>>> na nafasi ya uzoefu katika uongozi.
>>>>>
>>>>> Jambo hili la kujikita kuwapa watu nafasi za uongozi kwa vile tu wana
>>>>> sifa
>>>>> ambazo sisi tumeziona kuwa ndio msingi wa uwezo wao lina athari kubwa
>>>>> sana
>>>>> kwenye nchi yetu.
>>>>>
>>>>> 1. Kwanza, limewafanya watu wengi sana wenye nia njema na mawazo
>>>>> mazuri
>>>>> kabisa ambayo huenda yangebadili hali iliyoko, kuogopa sana kuingia
>>>>> kwenye
>>>>> siasa au uongozi wa ushindani, wakiogopa kuambiwa waoneshe hizo
>>>>> sifa
>>>>> na
>>>>> wasiwe nazo au zisiwe dhahiri kama ilivyotegemewa. Imewafanya wale
>>>>> waliotangulia hata kama ni kwa kubebwa ndio wabaki kwenye mfumo kwa
>>>>> sababu
>>>>> tu wao wanajulika
>>>>> 2. Pili, limezuia mawazo mapya na changamoto mpya ambazo ni mzingi
>>>>> sana
>>>>> katika kuleta mabadiliko ya kweli
>>>>> 3. Tayu, limefanya uongozi uwe wa kujuana zaidi na wanaojulikana
>>>>> ndio
>>>>> wanaobaki kwenye uongozi hata bula tija
>>>>> 4. Nne, tumebaki kukumbatia wazee au majina fulani kwa miaka nenda
>>>>> rudi
>>>>> huku tukiwa na malalamiko na maumivu yaleyale
>>>>> 5. Tano, imechangia sana kujenga taifa la watu waoga kuleta
>>>>> mabadiliko...waoga kufanya kitu cha tofauti na mazoea yetu. Sio tu
>>>>> vijana
>>>>> kama akina Makamba na wengine wanaogopwa kupewa nafasi kwenye vyama
>>>>> vyao
>>>>> kwa kuwa eti hawana uzoefu, bali hili limechangia sana hata katika
>>>>> kuogopa
>>>>> kukubali vyama pinzani kuwa vinaweza kubadilisha hali
>>>>> iliyoko...huku
>>>>> tukilemewa na msemo wa zimwi likujualo halikukuli likakwishwa
>>>>> (sikumbuki
>>>>> vema maneno halisi)
>>>>>
>>>>> Nirudie tu kusema kuwa, tuna vigezo vingi vingine vya msingi ambavyo
>>>>> twaweza kuvitumia kuhukumu aina ya watu wanaotaka kutuongoza zaidi ya
>>>>> uzoefu, umri, na mafanikio ambayo mwombaji keshayapa kabla ya nafasi
>>>>> anayoitaka sasa.
>>>>>
>>>>> Nitarudi nikipata upenyo
>>>>> *MM*
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> 2014-02-22 18:21 GMT+03:00 Nico Eatlawe <eatlawe@yahoo.com>:
>>>>>
>>>>> > Yona na wengine,
>>>>> >
>>>>> > Kugombea nafasi yoyote ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania maadam
>>>>> anavyo
>>>>> > vigezo vinavyotakiwa. Kwa msingi huo, mimi sioni tatizo kwa Makamba
>>>>> > kugombea urais. Wasi wasi wangu tu kuwa anaweza kuwa anatamani ikulu
>>>>> kwa
>>>>> > vile alikuwa karibu na JK bila kujua ugumu wa hiyo nafasi yaani
>>>>> kuongoza
>>>>> > zaidi ya milioni 43. Inahitaji uzoevu na ukomavu wa namna fulani mtu
>>>>> > kuongoza. Siyo kuwa na digrii au kuwa mbunge inamtosheleza mtu
>>>>> kugombea
>>>>> > urais maana siyo kila anayepata ubunge ni kiongozi kweli maana
>>>>> > tunaona
>>>>> > wengi ni wafuasi tu wala hawana ushawishi wala ajenda yoyote zaidi
>>>>> > ya
>>>>> > maslahi yao binafsi.
>>>>> >
>>>>> > Pengine tuangalie kazi yake hadi leo. Ana ushawishi gani? Ameleta
>>>>> kipya
>>>>> > gani? Tunaona vijana akina Zitto wakijaribu kufanya vitu hata kama
>>>>> > wanaonekana wana udhaifu. Udhaifu ni ubinadamu ila kazi anafanya.
>>>>> > Kwa
>>>>> > upande wa CCM mimi sijaona kijana mwenye ushawishi na maono ukiacha
>>>>> wazee
>>>>> > wenye uzoevu.
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> > On Saturday, 22 February 2014, 12:20, Yona Fares Maro <
>>>>> > oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>>>> >
>>>>> > Ndugu zangu ,
>>>>> >
>>>>> > Huyu kijana mwenzetu ameonyesha nia ya Kuutaka urais wa Tanzania ,
>>>>> > kuthibitisha hilo amehojiwa na kamati kuu ya CCM na akapewa adhabu
>>>>> > ya
>>>>> miezi
>>>>> > 12 .
>>>>> >
>>>>> > Je kuna lolote la kujadili kuhusu Mhe January Makamba ? Au tumwache
>>>>> tu kwa
>>>>> > sababu hatumjui na hatutaki kumjua zaidi ?
>>>>> >
>>>>> > --
>>>>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>> >
>>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> > ukishatuma
>>>>> >
>>>>> > Disclaimer:
>>>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must be
>>>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> > ---
>>>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> > "Wanabidii" group.
>>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>> send an
>>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> > --
>>>>> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>> >
>>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> > ukishatuma
>>>>> >
>>>>> > Disclaimer:
>>>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal
>>>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>>> must be
>>>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree
>>>>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> > ---
>>>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups
>>>>> > "Wanabidii" group.
>>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>> send an
>>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>> >
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>


--
kamala J Lutatinisibwa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment