Friday, 12 July 2013

[wanabidii] Re: Tangazo la Voda na Elimu ya Tanzania




2013/7/12 lingson adam <lingsadam@yahoo.co.uk>
 

Si tumeruhusu FEDHA ziwe msingi wa maendeleo!

From: Igenge Edwin <igenge05@yahoo.co.uk>
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>; "chambi78@yahoo.com" <chambi78@yahoo.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 7:40 AM
Subject: Re: [Wanazuoni] Tangazo la Voda na Elimu ya Tanzania

 
Haya ndo matangazo yanayopotosho jamii kwa kuwafanya wanafunzi na vijana wa kitanzania waamini kuwa ELIMU HAILIPI WALA SI UKOMBOZI KATIKA MAISHA BALI MAISHA NA UKOMBOZI WA KWELI VIMO KATIKA BAHATI NA SIBU ZINAZOTOLEWA NA MAKAMPUNI YA SIMU. Kama taifa lazima tulinde maadili na elimu yetu tusiruhusu UBWANYENYE NA UTAWANDAWAZI VITUHARIBIE TAIFA. Nilikuwa natafakari kuhusu tangazo hilo la mwanafunzi akiwa darasani mwalimu anafundisha mara mwanafunzi anaibuka nakusema kwa sauti nimeshindaaaaaaa halafu darasa zima wanampongeza na baadae mwalimu anauliza niliishia wapi wanafunzi wanamjibu kwa kusema ulikuwa umemaliza. Napiga picha nakuirudisha nyuma kwenye darasa letu SCIENCE 2 maarufu kama S2 pale Mwanza Secondari jijini Mwanza; nakujuliza hivi ingekuwaje? Napata jibu kwamba huyo mwanafunzi aliyeshinda angeadhibiwa vikali sana ikiwa ni pamoja na kufukuzwa shule.
Taswira ninayoipata katika darasa hili LA kwenye tangazo ni kwamba mwalimu anafundisha huku wanafunzi wanachat kwenye simu zao za viganjani ndo maana mmoja wao aliweza kubaini kwamba ameshinda na kwa midadi isiyo ya kawaida anaruka kwa sauti huku darasa zima likimuona mwenye bahati maishaini mwake. BINAFSI NACHUKUA WASAHA HUU KULAHANI MATANGAZO YA AINA HII KATIKA VYOMBO VYA HABARI.
Sent from Yahoo! Mail on Android


From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>;
To: Wanazuoni <Wanazuoni@yahoogroups.com>;
Subject: [Wanazuoni] Tangazo la Voda na Elimu ya Tanzania
Sent: Thu, Jul 11, 2013 4:13:57 PM

 
Hivi tangazo linaloonesha mwalimu anafundisha halafu mwanafunzi anashangalia kupata ujumbe wa simu linatuma ujumbe gani kwa jamii?


__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (13)
.

__,_._,___



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment