Wednesday 24 July 2013

[wanabidii] China yaongeza aina 4 mpya za visa

CRI Kiswahili - China imetangaza sheria ya usimamizi wa wageni wanaoingia na kutoka nchini. Sheria hiyo imeweka kanuni kuhusu aina na utoaji wa visa za kawaida, na imeweka bayana zaidi usimamizi wa ukazi wa wageni nchini China.

Sheria hiyo imeongeza idadi ya aina za visa za kawaida kutoka 8 za sasa hadi 12. Miongoni mwa visa za aina mpya, visa aina ya Q ni kwa ajili ya Wachina wenye uraia wa nchi nyingine kuwatembelea ndugu zao nchini, na aina ya R ni kwa ajili ya wageni wenye taaluma maalumu na za hali ya juu.

Sheria hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 Septemba mwaka huu badala ya sheria ya sasa iliyotolewa mwaka 1986.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2Zx6bGkoh

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment