Kweli Mugittu. swali lake halikujibiwa.
Mimi niliwahi kuliuliza. Nilijibiwa kuwa banki za Kiislamu hazitozi riba kwenye mikopo lakini huduma nyingine kama za kuhamisha fedha na mambo mengine yanalipiwa na kuwa garama za uendeshaji hutokana na charges hizo. Mwenye nyongeza!
From: Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 8:37 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?

Majibu yenu yaweza kuwa mazuri kwa mtoa hoja ila mnachoshindwa ni kumnjibu kwa hoja zenye mashiko wengi mmekimbilia mgogoro wa kidini tu ila nadhani swali lake kuu ni kuwa gharama za uendeshaji wa benk wapatikanaje au kun watu wengine wanabeba mzigo kwa niaba ya wengine? Hebu jipangeni mjibu maswali yake ili aelewe... mi ndivyo nilivyoona ktk majibu yenu.
Nani anajua hili hasa kama anatoka ktk Benk hiyo au anataarifa za kutosha juu ya hili amueleze? Aau mtoa hoja afuatilie kwa kina kwa juhudi zake mwenyewe ajue kwa kina nini kinaendelea humo.
Aasante
--
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
From: Enock Mlaponi <emlaponi@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 16:07
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 16:07
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
Bwana Ngupula kweli hilo hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana na sasa nimeshaachachukuwa hatua za ujitoa NBC. Ndugu Yona nafikiri ungejibu swali lile la Ngupula ningekuona wa maana sana kuliko maelezo uliyotoa. Ngupula ameuliza hivi kama hakuna Riba "Mzigo wa gharama za uendeshaji account nani anaubeba???? la kama kuna watu wa NBC Humu kwenye jukwaa hili mtusaidie kujibu!
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 15:55
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 15:55
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
Hiyo ni kati ya bidhaa zinazotolewa na benki hiyo , kama wewe hupenda bidhaa hiyo huwezi kutumia na kwa kweli wana bidhaa nyingi sana , ni sawa na unapoenda gengeni kuna machungwa , pili pili , mayai , ndizi na vingine vingi utachague vile unavyopenda kutumia tu .
Hongera benki kwa kubuni bidhaa mbalimbali na kushindana katika soko la mabenki mpaka saa hizi .
2013/7/12 Wilson Gwoma <gwomason@yahoo.co.uk>
kama imaamriwa kuanzisha Islamic Banking ndani ya taasisi ya Kitaifa Ushauri wangu wale ambao hwakubaliani na mfumo huo kama mimi ambaye pia nilikuwa na akAunti ya NBC nimeamua kuacha ife na kuhamia NMB na CRDB ili tuone wafanyakazi wao watalipwa kwa hela za kutoka wapi? Labda hapo Waarbu wanamkona wao.From: john mahaba <mahabajo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 12 July 2013, 14:55
Subject: Re: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
uongozi wa kisiasa tulionao ndo unafacilitate mifumo ya kibaguzi kama hii
uongozi shupavu hauwezi kuwagawa wananchi wake kiuupuuzi namana hii
wakiambiwa wanaleta udini wanaanza shutuma, kana kwamba watanzania
hatuna akili. ni oungozi upi katika historia ya nchi hii tuliwahi kufikishwa hapa.
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, July 12, 2013 2:47 PM
Subject: [wanabidii] Re: Is NBC an islamic bank?
--Kuna matangazo mengi sasa ya radioni yanayoonyesha kuwa kuna kitu kinachoitwa Islamic Banking (account na ATM) katika Bank ya NBC. Nafikiri maana ya Islamic account na ATM ni mfumo ambao hauzingatii utozaji riba kama imani ya kiislm inavyosema. Najiuliza maswali mengi,mfano,kama NBC wanaona hilo la kutotoza riba linafaa,ni mtanzania gani asiyependa kupewa huduma bure au kupata mikopo isiyo na riba?Na kama hilo linawezekana si waondoe riba na tozo kwa watu wote.Na kama haliwezekani,je mzigo wa gharama za uendeshaji account nani anaubeba?. Binafsi kwa uelewa wangu huo mdogo sifurahishwi na kitu kama hicho ndani ya Bank ya kitaifa kama ya NBC. Hizi taasisi zinazobeba watu wengi sidhani kama ni busara hata kidogo kuanza kuweka vitu ambavyo mwisho wa siku vitaishia kutugawa tu wa Tanzania. Nimeshawasikia si chini ya watu 10 ambao wamesema wanachukizwa na jambo hilo na wako tayari kufunga account zao NBC. Tunaomba maoni kama kuna mtu mwenye uelewa zaidi....na kama vipi tujue Bank hiyo ishaingiliwa na nini kifanyike. Godfrey Ngupula
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda

0 comments:
Post a Comment