Friday, 12 July 2013

Re: [wanabidii] KUIBIWA RESEARCH DOCUMENTS NA LAPTOP

Pole sana kwa yaliyokukuta , kama tukio limetokea mlimani city unaweza kuwasiliana na kituo cha polisi cha karibu , mara nyingi hawa askari wanakuwa na taarifa za wahalifu wanaohusiska na vitu mbalimbali vya ndani ya magari haswa hizo laptop au taa .

2013/7/12 Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
Du
ndugu yangu Kenneth pole sana. Hakika hili ni janga kwako. Ninakuombea. Huyu mwizi akatupe tu vifaa vyako muhimu mahali utakapoweza kuvipata. Kweli muhimu ni materials na pakato.

Ni somo kwa wengine fanya, hard copy, flash, vcd nk hata kujitumia au kumtumia rafiki wa karibu, mke au mume wako.
Pole ndg yangu; naonja hali halisi.

From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, July 12, 2013 11:52 AM
Subject: Re: [wanabidii] KUIBIWA RESEARCH DOCUMENTS NA LAPTOP

Pole sana ndugu Mutabaazi kwa yaliyokukuta. 

Ushauri mdogo kwa wnegine wenye programu kama hizi ni huu, pamoja na kuweka back up kwenye physical resources kama flash au external drive jatibu pia kuwea kwenye virtula resources kana google documents, dropbox au hata jitumie kama attachement kwenye email yako ili siku likitokea la kutokea wewe unakuwa katika hali salama kiasi kwa maana ya resources ulizoinvest (muda, nguvu, akili, pesa nk) katika kazi hiyo. Hata hiyo external au flashi drive inaweza kupata damage hata pale ulipoiweka ika kwenye virtual resources kuna ka usalama kaaina yake labda Wanaigeria wakihack email yako ndo utaipata. Mbarikiwe 

Ken

2013/7/12 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Njia nyingine ni kutangaza kwenye vyombo vya habari mwizi huyo awe muungwana akurudishie flash angalau. Bila shaka hawezi kurudisha laptop. Pole sana. ambaye hajawahi kupoteza information hawezi kujua una uchungu kiasi gani.

From: mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com>
To: Mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, July 12, 2013 9:47 AM
Subject: [wanabidii] KUIBIWA RESEARCH DOCUMENTS NA LAPTOP

Ndugu zangu,

\Jana usiku wakati natoka kwa mdogo wangu, nikiwa maeneo ya Mlimani City, gari langu lilikzima ghafla. Nilikuwa nimelitoa kwa fundi jioni.

Baada ya kuhangaika hapo, akaja kijana dreva taxi akajifanya ananisaidia. Akapendekeza tutoke kwenye mzunguko (roundabout) tusogee pembeni karibu na kituo cha mafuta "bonjour". Tulipofika akasema niwashe gari, baadae akaniambia betri ziko na nguvu kidogo, na yeye ana betri ndogo, hivyo gari haliwezi kuwaka. Akashauri tulisukume mpaka Mlimani City tuwakabidhi walinzi wa pale.

Nikapendekeza tuiwache hapo "bonjour" sehemu ya Subway restaurant. Yeye akasema anaenda kuita vijana wa kutusaidia, na mimi nikasema ngoja niwataarifu walinzi. Lilikuwa kosa. Yule kijana, ambaye namba ya gari wala namba ya ubavuni sikuikariri, akafungua gari(hakwenda kwa wale vijana) akakwapua begi na kuondoka kwa mwendo kasi.

Ndani ya begi kulikuwa na kompyuta mpakato(laptop), reseasrch materials zangu zote, flash disks nilimokuwa nimeweka Chapters 3 (tatu) za thesis yangu na vitu vingine vidogo.

Nimeathirika na sina hakika kama sikupata angalau hizo materials na flash, kama nitaweza kuendelea na masomo.

Nawaomba mniombee ili niweze kuambulia chochote kati ya hivyo, vinginevyo nguvu na jitihada zangu zinaweza kuwa zimekomea hapo.

Iwapo mtu atapata taarifa zozote, labda za kuokotwa begi na mavitabu anaweza kuwasiliana nami kwa
namba hizi:

0788 275 801
0754 284 508

Natanguliza shukrani.

Ndugu yenu, Lugaziya, M.J
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment