Friday 1 March 2013

[wanabidii] Tume ya kuchunguza matokea ya kidato cha nne

Leo nimesoma kwenye Michuzi Waziri Mkuu anakutana ta tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne. http://issamichuzi.blogspot.com/2013/03/waziri-mkuu-kukutana-na-tume-kuchunguza.html Ukiangalia members wa tume utaona haishirikishi waalimu wala wanafunzi waliofeli. Kama serikali inataka majibu ya kweli, tume ni lazima ijumuishe wanafunzi na waalimu pia. Otherwise PM atapata majibu ambayo yanalenga zaidi kutetea position za members. Everyone will try to cover their own ass. Ukitaka kujua kwanini mwanafunzi amefeli, pamoja na wengine inabidi pia umuulize anaefundisha na anaefundiswa directly.
 
wengine mnasemaje?
 
Karim

0 comments:

Post a Comment