Thursday 7 March 2013

[wanabidii] Re: MAGAZETI - TANZANIA DAIMA, RAIA MWEMA NA MWANAHALISI.

On Sunday, August 29, 2010 2:30:09 AM UTC+3, Kehancha Kehancha wrote:
> Wandugu, Kama kuna mtu anafahamu kwanini magazeti niliyoyataja hapo juu hayafunguki katika mtandao wa internet anifahamishe. Mimi nilifikiri ni tatizo la browser ya Firefox ninayotumia, lakini nimejaribu hata na kumpter yenye Internet Explorer, hakuna chochote. Kwa siku mbili sijapata habari, kwani hayo ndiyo magazeti nipendayo kusoma. Tatizo ni nini? Mbona Habari Leo linafunguka vizuri tu? Je kuna mwingine mwenye tatizo hilo au ni mimi tu?

je naweza kuuuliza habari yoyote ile hata kama ya familia , mapenzi, kazi na nyinginezo.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment