Friday 1 March 2013

Re: [wanabidii] Tume ya kuchunguza matokea ya kidato cha nne

Mimi sioni kwamba ni lazima wawemo katika tume wanafunzi walioferi, isipokuwa kama hawatahojiwa hapo ndipo naweza kufikiri kwamba tume haitakuwa imepata majibu sahihi kutoka kwa watu sahihi.
 
K.E.M.S.
From: abdulkarim faraji <abdufaraji@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 1 March 2013, 7:22
Subject: [wanabidii] Tume ya kuchunguza matokea ya kidato cha nne

Leo nimesoma kwenye Michuzi Waziri Mkuu anakutana ta tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne. http://issamichuzi.blogspot.com/2013/03/waziri-mkuu-kukutana-na-tume-kuchunguza.html Ukiangalia members wa tume utaona haishirikishi waalimu wala wanafunzi waliofeli. Kama serikali inataka majibu ya kweli, tume ni lazima ijumuishe wanafunzi na waalimu pia. Otherwise PM atapata majibu ambayo yanalenga zaidi kutetea position za members. Everyone will try to cover their own ass. Ukitaka kujua kwanini mwanafunzi amefeli, pamoja na wengine inabidi pia umuulize anaefundisha na anaefundiswa directly.
 
wengine mnasemaje?
 
Karim
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment