Tuesday 19 March 2013

Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Dr Kitila.
Nikikusoma katikati ya mistari unaonekana kukubaliana na hoja mufulisi
ya YM, wewe ni miongozi mwa wajumbe wa kamati kuu na watu wenye
ku-influence maamuzi mazito ndani ya chama.

Kama hivyo ndivyo, unataka tulioko nje tuamini kuwa ZK hapendwi na
anachukiwa kwa vile ana kipaji cha uongozi na kuna watu huenda
hawapendi awe kiongozi hadi ufike hatua ya kusema kuwa "Ana ngozi
ngumu"? Kauli uliyo itoa kama mmoja wa watu ninao waona kama muhimili
muhimu kwenye chama inanijengea mashaka kuwa huenda kuna msuguano wa
kuiongozi ambao wewe unaujua hadi ufikie hatua ya kumuonea huruma Zk.

Nadhani umeandika ukiwa hujapima sawasawa uzito wa maandiko yako hasa
yakikutana na mtu anaye jua kufumba jicho kengeza na kuangalia kwa
jicho moja huku akitaka kujua kilichoko kwenye mtungi.

Katikati ya mistari naona kauli yako ina kifuniko cha siri.

On 3/19/13, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
> Kitila,
>
> Hili unasema ni kweli hasa ukichanganya na ushamba, umaskini, wivu, na
> kutojituma inazidisha chuki za akina sie!
>
> Ni balaa la kijamii!
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 19 Mar 2013 19:52:01
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>
> Ukitulia vizuri ukaangalia mbele na nyuma utaona kwamba katika jamii yetu
> tuna tabia ya kuchukia watu wenye uwezo, hasa wa kiakili. Tangu tukiwa
> mashuleni watu wanaonyesha uwezo mkubwa darasani na wanaofanya sana bidii
> huwa wanachukiwa na kutengwa. Hilo linaendelea hadi katika jamii na
> linajionyesha waziwazi pale ambapo huwa tunajikuta tunachagua viongozi bora
> viongozi na kuwaacha wale wanaoonekana wana uwezo. Mtu anayeonekana ana
> uwezo atapigwa vita kila kona hadi 'aishe' kisiasa. Ni nadra katika jamii
> yetu mtu mwenye uwezo sawasawa akapenye katika uongozi. Ndivyo alivyokwama
> SAS, na ndilo jambo analohangaika nalo ZZK na yeye amekuwa na ngozi nzito
> kwelikweli!!
>
>
> 2013/3/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Ndugu zangu
>>
>> Katika siku za karibuni tumeona vitisho , kashfa , dharau na aina
>> nyingine za dhihaka dhidi ya mwanasiasa kijana mhe zitto kabwe na hata
>> wakati mwingine unasoma kwenye mitandao ya kijamii safari zake binafsi
>> au mikutano binafsi ikichapishwa kwa maana ambayo sio sahihi .
>>
>> Mpaka sasa hivi sijawahi kuelewa tatizo la Zitto Kabwe ni nini mpaka
>> anaandamwa ndani ya chama chake kwa siri siri na hata kwa uwazo tu
>> toka kwa baadhi ya viongozi na wanachama ambao ungetegemea wawe ndio
>> kichocheo ya maelewano ndani ya chama na nje .
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment