Sunday 10 March 2013

Re: [wanabidii] RE: MAMBO MAKUBWA YATAKAYOINYIMA CCM USHINDI MWAKA 2015

Ni kweli Mhe diwani, wakati mwingine ukimba msaada halafu watu wakija kukuokoa wanakuta umedanganya, siku ambayo utakuwa na tattizo la kweli hawatakuja wakijua ni kelele zako tu...

--- On Sun, 3/10/13, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:

From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: MAMBO MAKUBWA YATAKAYOINYIMA CCM USHINDI MWAKA 2015
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, March 10, 2013, 8:44 PM

Dr wakati mwingine ni vizuri kujipa moyo hata kwa yasiyowezekana

On 3/10/13, Dr Peter D Kafumu <kafumu@yahoo.com> wrote:
> Mkereketwa - tumesikia nasi tunatayarisha mtoto wa tanu awe rais kama mtoto
> wa kanu atakavyotawala nchi ya kenya sasa.
>
>
> --- On Sun, 3/10/13, GILL DAVID <gilldavidk@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
> From: GILL DAVID <gilldavidk@yahoo.co.uk>
> Subject: [wanabidii] RE: MAMBO MAKUBWA YATAKAYOINYIMA CCM USHINDI MWAKA
> 2015
> To: hlib@muhas.ac.tz, mum@mum.ac.tz, info@mzumbe.ac.tz, info@out.ac.tz,
> info@ruco.ac.tz, mfumbusa@yahoo.com, vcsaut@saut.ac.tz,
> admission@saut.ac.tz, stmarksadmin@sjut.ac.tz, gchelelo@sjut.ac.tz,
> admin@sjut.ac.tz, sua@suanet.ac.tz, vc@suanet.ac.tz, dvc@suanet.ac.tz,
> dvcadminfin@suanet.ac.tz, fos@suanet.ac.tz, ice@suanet.ac.tz,
> sua-tu@suanet.ac.tz, scsrd@suanet.ac.tz, pestman@suanet.ac.tz,
> plan@suanet.ac.tz, pro@suanet.ac.tz, support@suza.ac.tz, info@teku.ac.tz,
> dpacademic@duce.ac.tz, elctsmmuco@smmuco.ac.tz,
> info@butmaninternational.com, sematangotours@cybernet.co.tz,
> serenacarhire@habari.co.tz, sgresort@yahoo.com, sss@habari.co.tz,
> tours@albatros.co.tz, mia@albatros.co.tz, info@chadema.or.tz,
> rassingida@pmoralg.go.tz, mhariri@habarileo.co.tz,
> advertising@dailynews.co.tz, jennie@albatros.co.tz,
> shidolya@yako.habari.co.tz, sssafaris@cybernet.co.tz, s-s.kolowa@web.de,
> wanabidii@googlegroups.com, unasemaje@radiofreeafricatz.com,
mwananchipapers@mwananchi.co.tz, globalpublishers@dar.bol.co.tz,
> educate@intafrica.com, costech@costech.opc.org, info@satif.or.tz,
> info@satf.org, eotf@raha.com, eotf@cats-net.com, zitto@chadema.or.tz,
> worldtourstanzania@hotmail.com
> Date: Sunday, March 10, 2013, 6:02 PM
>
>
>
>
>
>
>
> -Unyanyasaji wa watumishi wa umma kwa kuwanyima mishahara stahiki,
> kuwatishia, na pengine kuwateka na kuwapiga.
>
> -Kunyima vijana ajira kwa kuua viwanda, na mashirika ya Umma kwa kujifanya
> Serekali haitaki kufanya biashara huku watoto wa vigogo walitumia mwanya
> huo.
>
> -Kutumia mabavu kudhoofisha Demokrasia Tanzania kwa kuwapiga na kuwajeruhi
> na pengine kuwaua waandishi wa habari.
>
> -Kuua Viwanda vya nguo na Wakulima wake wa Zao la Pamba kanda ya Ziwa na
> kwingineko Tanzania.
>
> -Kuua Viwanda vya Kahawa na Wakulima wake kanda ya Ziwa, Kilimanjaro, na
> ukanda wa nyanda za juu Tanzania.
>
> -Kuwanyima Watanzania kufaidika na rasilimali zinazopatikana kwenye vijiji,
> Kata, Wilaya na Mikoa yanakotoka madini.
>
> -Kumaliza kabisa Elimu kwa watu wenye kipato cha chini Tanzania huku watoto
> wa vigogo na wenye kipato wakisoma shule za gharama za juu na nje ya nchi.
>
> -Kuliua shirika la Reli Tanzania ili kuwapa watoto wa vigogo fursa ya
> kutumia mwanya huo kusafirisha bidhaa.
>
> -Kuua Shirika Reli na kutowachukulia hatua yoyote wahusika.
> -Kuingiza Wawekezaji kwenye sekta zinazoweza kuendeshwa na Watanzania
> wenyewe Mfano: Utalii wa ndani.
>
> -Kudhoofisha Demokrasia Bungeni kwa kuwanyima Wabunge wa upinzani kuihoji
> Serekali na pia kuwanyima kujadili hoja za msingi zikiwemo kushuka kwa elimu
> nk.
>
> -Kupandishia Wananchi kodi kiholela na bei za bidhaa muhimu bila kuangalia
> uwezo na kipato chao.
>
> -Kuruhusi watu toka nje kugawiwa na pengine kujinunulia ardhi kiholela na
> kujenga ndani ya ardhi ya Watanzania bila kuangali madhara ya baadae.
>
> -Kujilimbikizia mali kwa viongozi waliopo madarakani na kuficha fedha nje ya
> nchi bila kujali madhara yake.
>
> -Kujiuzia mali za umma vikiwepo viwanda, migodi, viwanja, nyumba, mashirika
> na mali zingine zilizojengwa kwa kodi za Watanzania kama Mahoteli ya Kitalii
> nk.
>
> -Kumilikisha kwa Wageni mali zisizohamishika bila kushirikisha Watanzania
> waliolipa kodi.
>
> -Viongozi kuwa na hisa kwenye kampuni mbali mbali na Migodi ya wawekezaji
> ili kutoa misamaha ya kodi isiyo na tija kwa Watanzania.
>
> -Kuwakingia kifua wezi na wahujumu wa mali za umma walio na kesi za bandia
> mahakamani.
>
> -Kutokukubali kuwa na tume huru ya kusimamia uchaguzi kama ilivyokuwa
> Kenya.
>
> -Kutokukubali kufuta kifungu cha kumzuia Rais wa Jamhuri kushitakiwa endapo
> akienda kinyume na Katiba ya nchi.
>
> -Kulitumia Jeshi la Polisi vibaya kwa kuwanyanyasa, na kuwapiga Wananchi
> wasio na hatia na wale wanaodai huduma za msingi kama mishahara, maji,
> umeme, tiba, elimu nk
>
> -Kujihusisha kuingiza nchini bidhaa bandia zenye kuleta madhara kwa
> watumiaji.
>
> -Kutodhibiti fedha za Kigeni kwa Wafanya biashara wa kigeni wanaotorosha
> fedha nje baada ya kuichuma Tanzania.
>
> -Kujihusisha na biashara za kuwinda wanyama na pengine kuwasafirisha wakiwa
> hai jambo linalochangia kupunguza wageni nchini huku ikipandisha kiholela
> bei za kutembelea hifadhi za Taifa.
>
> -Kuwanyamazisha Watanzania na vyombo vya habari kutoa taarifa za kweli na
> muhimu kwa kupitia magazeti na mitandao ya kijamii mfano. Gazeti la
> Mwanahalisi.
>
> -Kutoendeleza Mashule na Viwanja vya ndege alivyoviacha Mwalimu Julius
> Kambarage Nyerere kunakosababisha kuzorota na kushuka kwa uchumi wa nchi.
> Kenya wameingia kwenye uchaguzi shughuli zote za Kibiashara zikasimama.
> Katuwezi kuendelea kuwa tegemezi kwa kulinda na kutetea Sera za Chama cha
> CCM.
>
> Sera za watu wasio na upeo wa kuona mbali na kufanya mabadiliko ya Hali
> mbaya ya uchumi wa Watanzania. Mnatoa madini yetu mpewe magari ya kutembelea
> huku Watanzania wanakufa kwa njaa, maradhi, mishahara duni, makazi dun nk.
> Watu wabishi wasiotaka ushauri wa bure toka kwa Wapinzania. Ama zenu ama
> zetu. Mnarithishana wenyewe viti vya Urais. Watu wanaopendwa na Watanzania
> mnawapiga chini mfano: Lowasa na Sitta. Nyie ndio mna mali za kutia kiberiti
> na petroli endapo mkigomea matokeo masikini tuna mali gani?. Wafanyakazi
> muhimu wanakimbilia kufanya kazi nje kwa kunyimwa mishahara stahiki. Nyie
> mnajilipa mara mbili mbili. Mtu mmoja vyeo na mishara mitatu. Eti Mbunge,
> Waziri, Mwenyekiti wa bodi, Mjumbe wa Halimashauri kuu, Mkuu wa mkoa.
> Mnataka kutuambia wasomi nchi hii hakuna ni nyie tu.
>
> Hakuna Mtanzania mwoga sasa hivi. Majirani zetu wa Kenya tumekaa nao
> wametufundisha ujasiri. Silaha ya unyonge wetu sasa ni umoja wetu Watanzania
> bila kujali Kabila, Dini, wala vyama. CCM mumeibia nchi sana sasa pumzikeni
> kama KANU.
> Mkereketwa.
> Gilliard David
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment