Friday 22 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Bi Kiwasila kweli unatujua tabia zetu watanzania inachekesha lakini
inasakitisha.

On 3/21/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Msomi atasema hapa hapafai kujenga au kukaa-mtajenga. Ataelekeza kuwa
> mercury ni mbaya usilae nayo na kuipumua au kuishika bila gloves/protective
> gear-utashika. Tumia kifaa hiki ni laki moja lakini kitaokoa maisha
> hutoishika wakati wa amalgamation-utakikataa utasema huna hela lakini
> utatumia laki kulewa na kuhonga. Usikate miti milimani na kuchimba-utakaa,
> kukata miti kuuza mkaa halafu landsline itakuzika. Msomi akueleze nini
> usikie-Tumezoea, hapa ndipo pa babu aliishi maisha yote. Lakini babu
> hakukata iti na kuchimba madini na kujenga huko utaleta maporomoko-Hutaki.
> Na bado-unanunua na kujenga jangwani bondeni-hukuona mafuriko? Lalia
> chandarua, sina hela ni ghali; unapewa cha bure-wanataka kuua uzazi
> unafunikia vifaranga vya kuku. Huku unalo hydrocele (busha-ashakum), tende
> juu, uzazi wa raha unatoka wapi hapo? kama huna mbona unayaona mfano kwa
> wenzako? Msomi akufanye nini?
>
> Mental Revolution ndio inayotakiwa hapa TZ. Turudi kwenye sera za Mh Baba wa
> taifa tukipigwa msasa na kuipenda nchi yetu badala ya lawama tu. Hata
> aliposema waliokuwa na hela za magendo wapeleke-walitupa viroba msikitini,
> makanisani. Akawaambia-wanamuhonga Mungu!! Ulikuwa ukimsikia mwenzako
> ananukia sabuni ya Lux-unamripoti na anaitoa anasema kaipata wapi-Kenya!
> Wakati huo kununua kitu dukani ni kwa daftari la ubalozi nyumba kumi kila
> nyumba ina lake. Leo hii tunabeba na kuficha wahamiaji haram ndani ya
> nyumba, container, mashambani etc. Tunapenda kulaumu tu sio watendaji. Tupo
> vijiweni.
>
> Ukisikia mtu anaisema TZ unafurahi na lawama pande moja daima. Wewe umefanya
> nini? Umeitendea nini tanzania au eneo lako?  Tukipita kijijini unaona
> unapoweza saidia. Maliza kazi ya kutwa halafu anza ya ziada ya kujitolea.
> Shamba la shule halilimwi kupikia watoto uji-kanunue mifuko ya mbegu wape
> organize kwa kushauriana nao wanafunzi na wazazi wajitolee kulima na
> kupalilia kimpangilio. Choo kibovu tofari zipo-elekeza jinsi ya ukarabati.
> Kama unaufundi-aje fundi wa kijiji muelekeze. Nilikuta Robanda wana
> limestones na kiwanda cha kienyeji cha kutengeneza chokaa-niliwafundisha
> kutumia mawe na gypsum kujenga nyumba za mawe. Zilipamba moto baada ya muda
> zilipendeza kijijini (1986-1988). tukajenga na choo cha shule namna hiyo.
> Volunteer aliyekaa hapo miaka yote akitokea DDH hopsital Mugumu
> alichanganyikiwa akajiona hafai akaanza vurugu-akapelekwa kea DED akala
> kibano. Ukifanya vema wapo watakaoona wivu kutaka kuvuruga. Na hii ndio
> desturi yetu wabongo,
> hatuhesabu mema bali mabaya zaidi. Nilitolea mfano Kisiwani-tulijenda
> darasa 2 na sasa wameongeza ni high school. Mzungu alikuwepo lakini hakuona
> hili la madarasa na raslimali zote zipo pale. Maendeleo yanaweza kuja
> kijijini, mtaani bila gharama kubwa-tufumbue macho sio kutegemea yadondoke
> toka juu.
>
> Unakuta kuna kinyesi cha mifugo kinachozalisha maishi kibao na wanapata
> ugonjwa wa macho-panga jioni moja uende boma moja ukawaonyeshe jinsi ya
> kukiweka shambani wengine waje kuangalia. Hili ni taifa letu tuache lele
> mama.
>
> Wagonjwa hufika hospitali saa 8 baada ya kutoka shamba au huja asubuhi baada
> ya mavuno mchana hakuna mgonjwa. Kutwa nzima nurse na wahudumu wengine wa
> zahanati wamekaa tu wanabofya simu na kufuma vitambaa. Kuta na dari zina
> utandabui kibao na vinega (ndege) popo wamejenga huko juu. Ukiwauliza kwa
> nini-Serikali haijatununulia mifagio au hawana jibu na cleaner yupo na
> uongozi upo hapo. Wote ni vipofu wapo tu.
>
> Dirisha la chumba cha kupima wagonjwa limetoka msumari wa bawaba
> linaningi'nia, akipimwa mgonjwa apitae nje anaweza kumchungulia-Serikali
> haijaleta hela!! Wanangojea serikali sio mmojawapo kurudishia msumari kwa
> kuomba nyundo kijijini hapo au jiwe tu kugongomea. Na ndio hivi tunavyotaka
> kuandamana Maji hakuna ila huko Mvuha, Mgeta, Udungwa wafugaji wamejaa,
> wakulima na wengineo kufyeka miti, kuchimba madini kuchakachua ardhi na
> uoto. Ila-tunakusanya kodi za mapato. Kata lakini uwe na kibali. Ukiwa na
> kibali-wewe kata tu maana umelipia kukata. Na ni hivi vyanzo vya mto Ruaha
> wamepanda na Pangani wamepanda wafugaji, kilimo umwakiliaji kuanzia juu hadi
> ufike Hale na Mwakiyumbi kwenge gates za maji kupeleka mitambo ya Pangani 1
> and II hydropower na water schemes. Tusipojirekebisha katika utendaji na
> kushirikiana kurekebisha watu wetu waharibuo mazingira-usidhani maandamano
> yataleta mafao bali mapigano. Tusiporudi kuboresha kilimo mpaka yale
> mashamba ya
> mashirika, ya shule, JKT, Prisons-tusitegemee kuondoa njaa na kupanda bei.
> Agenda ya uchaguzi ujao-amefanya nini, kasaidia kuleta maendeleo gani,
> kutokomeza maovu yepi jimboni kwake?
>
> Sio lelemama yupo daima mjini pale jimboni hakuna alichosaidia na resources
> zote zipo. Yupo lakini ukeketaji kama jana tena kwa maandamano barabarani na
> anaangalia na ni wa kabila la hapo!!? Msomi pekee bila ya kushirikiana na
> viongozi wa eneo hawezi kuleta mabadiliko. Na awe wa kabila
> ingine-ataonekana mmoko. Iwe lazima kila Chuo husika-kiwe na maeneo yake ya
> kazi za mfano na kipewe thamani hivyo. Wewe ni wa Misitu-wapi umesaidia
> kuleta mabadiliko. Pia wa mbegu za kilimo, wa upimaji na ramani, wa mifugo
> etc. Sio consultancy pekee bali pia Community work au community services as
> services to the people and the GVT. Si ajabu ukakuta hata vyuo vya
> wasomi-kinyesi kinavuja na harufu inakukaribisha lakini wanatoa degree
> sanitary or public health engineering; ceiling board imeanguka, ngazi za
> kupita eneo hadi eneo za concrete zimepanganyika lakini na ni collenge
> inayofundisha ufundi ujenzi. Wanasomea elimu ya juu lakini vyooni wanatupa
> solid waste inayofanya
> vyoo vifurike-makaratasi, viroba vya konyagi, chupa za maji ya uhai unakuta
> zimetumbukizwa chooni. imemdodoka-haokoti lakini yakifurisha-yanamwagikia
> ukumbini apitapo. Jiulize!!!??? Upo bongoland au Bombay? Usomi uwe wa
> matendo ya kisomi pia.
>
>
> --- On Thu, 21/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
>
> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, 21 March, 2013, 12:47
>
> Dear Kiwasila,  Samahani sana kukosea jina lako. Kama ninakuelewa vizuri
> kuna shida katika kuwajibishana. Nafikiri tunapaswa kuanzia hapo mambo
> yatabadilika. Wasomi nao wanapaswa kuwajibishwa hasa yale wanayo ya recomend
> yanapoleta madhara kwa jamii kwa sababu alipofushwa na rushwa, ubinafsi na
> tamaa ya mali.
> Alexander
>
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, March 21, 2013 7:05 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
>
>
>
> Hili jina mbona si langu jamani Chipalazya langu ni refu la hili, limekaa
> vibaya hapa! Umeshindwa kukopi! Basi umepata F-wanabidii exam!!
>
> Fahamu Alexanda EIA inalipiwa na muhusika na Hela zinatakiwa zipelekwe NEMC
> na NEMC kufika pia kuona eneo. Hivi ndivyo nielewavyo mimi. Hivyo basi, NEMC
> itatafuta  capable organization kufanya EA -itatangaza na kusona bids zao na
> kuwapa kazi na contractor kuwakilisha report yake NEMC na kwa muhusika na
> ikasomwa hapo NEMC. Hivyo wataanza na scoping kuangalia haja ya full EIA.
> NEMC wataangalia taarifa na kutembelea eneo kuhakiki hayo.
>
> Kufanya EIA usemavyo wewe hapa ni kinyume kwani huyo mwekezaji atataka
> iandikwe-hakuna madhara au apendavyo yeye kuwa kila kitu ni positive hakuna
> negative effect za uwekezaji wake. Wengine ndio hao wa tumboni street,
> atajipendekeza na kuandika
> atakavyo mwekezaji maana
> ndio kampa kazi au atamsaka na kumwambia ampe hela atamwandikia vizuri.
> Halafu anajenga kitu cha madhara. Wakakuzi michoro na eneo nao watakula hela
> na kumruhusu amwage maji ya kiwanda kwa kuweka bomba linamwaga directly
> baharini au mtoni-maji ya moto au yenye kemikali mbaya. Halafu ndio unawaona
> kwenda kumfungia hoteli au kiwanda! hapo kamata huyo aliyefanya EIA aliyoona
> nia ya ujenzi wa kiwanda, aina yake, mchoro na process yake ya uzalishaji
> product, majitaka yake na kiwango cha chemikali za kutoka, akijua hiyo ni
> zao fulani na shule kapitia/kasoma. Na huyo industrial inpector wa kupitia
> project document na mchoro waliodanganya serikali-kamata funga kesi isiwe na
> dhamana. Wanga hao!! Wengine si suala la umasikini bali ni ubinafsi na
> tamaa. wanamihela, majumba, magari tena vijana wadogo kaanza kazi juzi tu
> leo ana magari ya kifahari na mjumba wa mamilioni kama Wema Sepeku au
> Diamond. Kama si wizi wa namna hii na kukosa utaifa ni nini? Na kila siku
> anataka kupata tena na tena bila fedheha. Ndio maana tupo kama tulivyokuwa
> miaka 47 ilipoita na hali inakuwa mbaya. Kiasi kwamba hata Mchina na
> wawekezaji wageni wanajua kuwa TZ ni hela tu, kitu kidogo unafanya utakavyo.
> Kwao hafanyi hivyo hapa kwetu anafanya na kuunganisha bomba la kinyesi au
> maji taka anamwaga mtaro wazi au ya cyanide kumwaga mtoni. Mbona sisi
> wenyewe tunaharibu tunafanya hivyo pia na hygiene, env safety is not our
> priority? Ndio maana kinyesi tunaunganisha mabomba mtoni, mtaroni, penye
> uchafu na mainzi ndio tumepanga chakula; kituo cha bus baraza yake ndio meza
> ya mama ntilie, bwawa na maji taka ndio tunavamia tunajenga hapo na kuishi
> na watoto; chandarua cha bure tunavulia samaki. Tunaanza na kigenge kuuza
> chakula bandarini kisha tunajenga nyumba na tunaishi na watoto mahala pa
> maghorofa hakuna hewa safi kwa vichanga na unapewa hela kuhurumiwa
> uhame-huhami kwenda penye nafasi. Unajijali? Ni mengi tu tufanyayo kinyume
> na maendeleo,
> sheria na utu wetu ila kwa visingizio-tumeshinda. Zawadi yako hiyo ya
> mazingira tunavyoyachakachua kukukumbushia kwani nimeshaipachika humu mara
> nyingi kwa vile inanikera ki-afya.
>
>
>
>
> --- On Wed, 20/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
>
> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 20 March, 2013, 9:52
>
> Hildarda,
> Unaposoma report nyingi juu ya EIA unakata tamaa. Maana huko kilwa EIA
> imefanyika lakini hazifuatwi na mahala pengine hazifanyiki ipasavyo
> (Rushwa). Watu wana andika report
> kufavour investors, kwahiyo EIA kama tool ya kusaidia decision making
> inakosa maana kwa sasa. Zingefanywa vizuri na mtu akareport kilichopo na
> kutoa mapendekezo sahihi zingesaidia sana. Tunatakiwa kubadilika sana, hata
> wasomi wamekua corrupt, hawaangalii mstakabari wa nchi hii 25-50 years to
> come. Ni aibu sana.
> Alexander
>
>
> From: Hildegarda
> Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, March 20, 2013 7:53 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
>
>
> Halafu hawa investors wanaochukua ardhi kubwa na kuanzisha mashamba na
> biashara, lazima kufanyike EIA kwanza na benefit sharing scheme yake kwa
> wananchi ijulikane. Lazima kuwe na elimu kwa jamii kujilinda na kulinda
> watoto wao na masuala ya sexual abuse. Kwani ukifika maeneo ambapo wapo
> utaona jinsi magari yao yalivyo na visichana vidogo waliovaa kihuni,
> wanaingia nao bar na lodging; utaelewa na wananchi mambo yao ya kutumia
> walinzi wao kuwapelekea wasichana, utakuta mtandao wa changu doa unazagaa
> maeneo hayo na masuala ya abnormal sex kuanza kuzagaa. Tunaona huko yaliko
> makambi ya uwindaji na huo uwekezaji. Wakati wa msimu wa uwindaji sio
> kuwinda wanyama tu na visichana na vijana kwa michezo hiyo michafu na
> wanaingia nao makambini na hoteli tunaangalia. Jinsi tunavyofungua uwekezaji
> na haya yataongezeka.
>
> tujitahidi kulinda
> jamii yetu ili tupunguze mambo
> hayo, ukimwi na genetically transmitted diseases.
>
> --- On Tue, 19/3/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
>
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, 19 March, 2013, 22:09
>
> Na ajabu ya ajabu, Agrosol hawana zaidi ya eka 17,000 hapa Marekani.
> Wanakuja Bongo wanapewa eka 600,000. Nasikia kule Mpanda wanataka eka
> 800,000. Halafu masharti yao ni kwamba mazao watakayozalisha wanapeleka soko
> la nje.
>
> Sisi tutaendelea kuwa watizamaji wakati wageni wanatajirika kwa migongo
> yetu. CCM has to go.
> em
>
> 2013/3/19 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
>
> Kivuyo unamaanisha Kibo Palace iliyopo Corridor area au Palace hotel iliyopo
> boma road?Swala la ardhi hapa Tanzania ni tete sana,huko kusini kampuni ya
> Agrosol imechukua zaidi ya hekari 600,000,kwa msaada wa Serikali dhaifu ya
> ccm
>
> Ndio maana husema kila kuwa tumeshindwa kujitawala
>
> On Tue, Mar 19, 2013 at 10:52 PM, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Kivuyo,
> Kibo Palace bado ni ya bepari wa rombo..ana share na NHC
> On Tuesday, March 19, 2013, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>
>
>> Kivuyo
>>
>> Alinunua kwa pesa ngapi aisee
>
>>
>>
>> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>>
>> Watanzania wanaouza ardhi kwa wakikuyu wasilaumiwe hata kidogo. hata wewe
>> ungeuza kwa mtu mwenye pesa unazozihitaji. Serikaloi ndiyo inatakiwa
>> kusimamia na kuratibu sheria ichukue mkondo wake. wanachofanya
>
>
>
>>
>> ______________________________________________
>> Real Change for Real Development,
>> Lemburis Kivuyo
>> +255654650100/078 7665050/0755646470
>> Website: www.kivuyo.com,
>
>
>
>> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
>> Titter: http://twitter.com/lembu1,
>
>
>> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo,
>
>> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>>
>> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>
>
>>
>> Kenyata mwenywe anamiliki hoteli ya 4 or 5 stars Arusha inayoitwa Kibo
>> Palace ambayo aliuziwa kutoka kwa fisadi ile ya rombo
>
>>
>> ______________________________________________
>> Real Change for Real Development,
>> Lemburis Kivuyo
>> +255654650100/078 7665050/0755646470
>> Website: www.kivuyo.com,
>
>
>
>> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
>> Titter: http://twitter.com/lembu1,
>
>
>> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo,
>
>> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>>
>> 2013/3/19 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>
>
>>
>> Hildegard,
>
>> Hakuna kipindi ambapo Tanzania tunatakiwa kua na Migration Department
>> inayowajibika ipasavyo kama kipindi hiki ambapo sera za utandawazi
>> zinapaliliwa sana, pamoja na hiki kitu kinaitwa 'EAC'.
>>
>
>
>> --
>
>> Bariki G. Mwasaga,
>> P.O. Box 3021,
>> Dar es Salaam, Tanzania
>> +255 754 812 387
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>
>
>> Disclaimer:
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
> Ephata Nanyaro
> P.o.box 15359
> Arusha
> +255 754 834152
> Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment