Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] Rais Robert Mugabe Atorokea Vatican

Jamani kabla hatujaandika haya mambo tujipe muda wa kuyaelewa.

Hata kama vikwazo vingekuwa bado vipo, Vatican ni Serikali kamili ndani ya Italia ikiongozwa na Papa, anao mawaziri ambao baadhi ni mapadre wa kawaida na kwa taarifa nilizonazo mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Vatican ni Mtanzania.

Pili, Vatican na Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) katika Jiji la New York, kwa mujibu wa mkataba wa Aprili 18, 1961 uliotiwa saini jijini Vienna, Austria, Vatican na New York ni miji ya Kidiplomasia.

Maana yake ni kwamba hata kama umewekewa vikwazo huruhusiwi kukamatwa ukiwa katika moja ya miji hii ikiwa una hati ya kusafiria yenye kukupa hadhi ya Mdiplomasia. Sina shaka kuwa Mugabe passport yake ni diplomatic one.

Tuendelee kujuzana tu.

Balile
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 18 Mar 2013 22:00:32 +0300
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Rais Robert Mugabe Atorokea Vatican

Walisha-lift vikwazo vyote vilivyomkabili yeye na washirika wake

On Monday, March 18, 2013, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
> Rais Robert Mugabe Atorokea Vatican
>
> Rais Mugabe amewekewa vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya tangu mwaka 2002 lakin kwa mara nyingine tena amekiuka kwa kutumia haki yake kama Mkatoliki kuhudhuria misa ya kuapishwa kwa Papa Francis Kesho Jumenne. Pamoja na kwamba Mugabe amepitia kiwanja cha ndege cha Italia lakini alipokelewa na padre ambaye alitumwa na Papa na kumpeleka rais Mugabe kwenye hotel maalum (Via Veneto) Kwa habari zaidi bofya hapa: 
> http://goldentz.blogspot.com/2013/03/bugabe-atorokea-vatican.html
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment