Friday 1 March 2013

RE: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu

Neville,
Umechambua sahii...Lakini watu kama Yona nao  ni watu  wazuri  maana wanasaidia kutuelemisha juu ya kufilisika kisiasa kwa watetezi wa CCM-Mamboleo ya akina Mwingulu na Nape. Hii ni CCM inayodumu kwa kuchakachua kura za urais na kuhimiza vyombo vya dola viue waandishi wa habari kama Mwangosi na kuteka na kutesa viongozi wa madakatari kama Dr Ulimboka. Hii ni CCM  ya propaganda zisizo hta na mantiki. These are the last kicks of a dying horse!! Yona nampenda sana maana anaburudisha. Lakini pia anakufanya husiangaike akuandika mamabo mengi kwenye jukwaa kama ili maana unajua akina Yona ndani humu ni wengi kiasi chake!!!Ahaha.....Lakini huwezi jua labda ndicho walichoambiwa kufanya kwa sasa ili kuuua majukwaa kama haya kabala ya mwaka 2015... Yote bure tu maana mkondo wa historia hauzuiliki kiraisi hivi!!!!
Mwl.Lwaitama  

Subject: Re: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu
To: wanabidii@googlegroups.com
From: nevilletz@gmail.com
Date: Sat, 23 Feb 2013 05:07:55 +0000

Duh!
Ndo maana haka kajukwaa kana ukame!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 23 Feb 2013 00:47:02 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu

Sasa bw. Yona natamani ungeweka na jukwaa la mkutano ama basi na PA System ili kudhihirisha kuwa ulikuwa mkutano. Hivi kama ni jamaa alikuwa amevaa t-shirt ya Chadema akapita mtaani na kupiga picha na watoto inaweza kuwa ni mkutano? weka basi na maelezo mkutano huo umefanyika wapi ni jambo jema. Picha bila maelezo kwa mujibu wa kanuni za matumizi ya picha kwa ajili ya kutoa taarifa ni sawa na zile za kuhifadhi tu kwenye album

On 22 February 2013 23:36, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Ndugu zangu

Hapo ni Picha ya mkutano  Mmoja wa CHADEMA uliofanyika saa chache zilizopita ambapo waliamua kutumia watoto wadogo kupiga nao picha baada ya kuona hali nguvu .

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment