Saturday 16 March 2013

Re: [wanabidii] Jeshi la Polisi lazuia maandamano ya maji Ubungo

Ndugu zangu,
Msidhani watu kuongezewa vyeo au nyota, ni shauri ya kuwajibika na gwaride, wengi wao huwa ni shauri ya uongo, kama huu kutoka kwa anayezuia maandamano yahusuyo maji.

Ama kweli, mwenye shibe, kamwe hamjui  mwenye njaa.Natamani maji yakatike kwa mwaka mmoja huko Oysterbay na Masaki, ili hadi matanki yakauke, yakifuatiwa na visima kukauka. Hapo ndo watu wataujua huu wimbo unaoimbwa na wanyonge au waathirika wa maji , ni mtamu kiasi gani!!!.

Ni mimi,

Judith Anderson
Coordinator  - Women Fighting AIDS in Tanzania( WOFATA )

--- On Sat, 3/16/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Jeshi la Polisi lazuia maandamano ya maji Ubungo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, March 16, 2013, 8:09 AM

Na hii ndiyo nchi inayosifiwa kwa kuheshimu haki za binadamu na kuishi kidemokrasia. Sasa hebu niambie nchi ambazo zina jina baya hali ikoje?

2013/3/16 mngonge <mngonge@gmail.com>
Mpaka yawepo maandamano kuna tatizo, maandamano siku zote huingilia
shughuli za kila siku. Labda atwambie maandamano ya aina yoyote ni
marufuku kwa sababu siku zote watu wana shughuli zao na vitu
alivyovitaja kamanda vipo kila siku hatutegemei iwepo siku ambayo watu
hawana shughuli.
Anaposema eneo ni dogo ina maana anajua idadi ya waandamanaji? au ndo
hivyo ametoka na majibu nyumbani kwake. Kama angetueleza sababu moja
tu ya waziri husika kutokuwa na taarifa tungemuelewa lakini kitendo
cha kuwa na sababu lukuki kinaashiria uwongo ndani yake. Kuzuia
maandamano bila kutafuta suluhu ya maji ni kuendelea kulimbikiza
hasira kwa wapiga kura dhidi ya serikali

2013/3/16 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
> Mmmh waziri kapata ahueni na wasivyozea kuwajibika sitashangaa hata
> kesho au mwakani hakuna suluhisho juu ya tatizo hili
>
> On 3/14/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>> Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kanda ya Kinondoni limekataza
>> maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika tarehe 16 Machi 2013 yaliyokuwa
>>  yameiratibiwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika yaliyolenga kufika katika
>> Wizara ya Maji ili kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Maji, Prof Maghembe
>> kuhusu kero ya maji katika jimbo hilo ambayo haijatatuliwa wala kupatiwa
>> ufumbuzi kwa muda mrefu. Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo ACP, Charles
>> Kenyela amesema endapo maandamano hayo yatafanyika:
>>
>>    1. Upo wasiwasi wa kutokea kwa vurugu pale watakaposhindwa kufikia
>>    muafaka kuhusu hoja zao.
>>    2. Amewasiliana na Ofisi ya Waziri husika na kufahamishwa kuwa haina
>>    taarifa rasmi za ujio wa maandamano hayo.
>>    3. Barabara yatakakopita maandamano hayo ipo katika ujenzi na hivyo
>>    maandamano hayo yatazuia shughuli za mkandarasi kukamilisha kazi yake
>> kwa
>>    wakati na kuisababishia Serikali hasara.
>>    4. Eeo ambamo maandamano hayo yanakusudiwa kutamatia ni dogo na hivyo
>>    itasababisha usumbufu mkubwa.
>>
>>
>>
>> Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2NXr1kGr1
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment