Tuesday 25 December 2012

[wanabidii] Re: PICHA - PADRE APIGWA RISASI ZANZIBAR

Father Ambros Mkenda wa Kanisa la Katoliki la Mpendae amepigwa risasi
na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake majira ya saa 12 jioni leo
wakati akitokea kanisani. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Azizi Juma amethibisha kutokea kwa tukio hilo na amesema hakuna mtu
anayeshikiliwa kuhusika na tukio hilo lakini uchunguzi unaendelea.
Father Mkenda hivi sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi
Mmoja, ambapo Askofu wa Anglikan Michael Hafidh amesema bado ni mapema
mno kuelezea kama ataendelea kuwepo hospitalini hapo au atasafirishwa
huku akilaani vitendo ambavyo hivi vinavyoendelea vya kuwahujumu
viongozi wa dini.

On Dec 25, 11:49 pm, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
>  padre.jpg
> 86KViewDownload

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment