Monday 17 December 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI


Na wanawake wanaolewa ili watawaliwe au?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Novatus Kambota <novakambota@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Mon, 17 Dec 2012 22:49:11 +0300
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: [Mabadiliko] SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI

Wewe ni mwanaume? unajua kwanini umeoa? wanafalsafa wanatoa sababu kuu mbili kama ifuatavyo;

1. Ubinafsi
Mtu anaoa kwasababu ya hulka yake ya ubinafsi anataka kumfanya mwenza wake awe wa peke yake

2. Hulka ya kumtawala mkeo

Hii ni sababu ya pili, kwamba kila mwanadamu ana hulka y akupenda kumtawala mwingine hata watu pia huoa ili waweze kutawala wenza wao

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 

0 comments:

Post a Comment