Thursday 20 December 2012

[wanabidii] Mwenye takwimu za talaka Tanzania hasa Dar

Ndungu wanabidii nahitaji kupata takwimu za talaka (Divorce) kwa Tanzania na hasa kwa Dar ikiwezekana kwa mafungu kama za kikristo, Kiislamu, Kimila nk.
Nawakilisha.

0 comments:

Post a Comment