Sunday 9 December 2012

[wanabidii] John Draman Mahama ashinda urais Ghana

Chama tawala cha NDC cha Ghana kimeshinda urais baada ya mgombea wake John Mahama kupata 50.7% ya kura na kumshinda mpinzani wake wa karibu Nana Akufor-addoh 47.74% wa chama cha NPP. Addoh ambaye ni mwanasheria na mtoto wa Rais wa zamani Edward Akufor-Addoh anatoka kabila kubwa na tajiri la Ashanti hivyo waghana wengi ambao sio wa-ashanti hawakuwa tayari kumpigia kura. Mfanyabiashara tajiri Papa Kwesi Nduom wa chama cha PPP kaambulia 0.59% na Mgombea kijana na tajiri Hassan Ayaraga wa chama cha PNC nae kaambulia 0.22 ya kura.
 
John Mahama aliingia madarakani kufuatia kifo cha rais wa Ghana John Atta Mills kufariki dunia 24 july mwaka huu. Wakati wa Attah Mill Mahama alikuwa makamu wa Rais. Katika uchaguzi huu wanawake 133 wamegombea ubunge na 28 kati yao wametoka kidedea (wameshinda). Bunge la Ghana lina wabunge 275. 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment