Monday 10 December 2012

[wanabidii] Hujafa hujaumbika

Msichana (Marley Casius) alikuwa afe kwa sababu madaktari wanaoweza kuutibu ugonjwa wake ni wachache sana duniani. Alifanyiawa operesheni zaidi ya mara nne na Dr Jesus Gomez ili kuondoa mifupa iliyokuwa inakuwa katika taya lake la chini ya uso hadi kufikia kilo saba. fuatilia kisa hichi ili mimi na wewe tuweze kuwa na shukrani kwa Muumba wetu aliyetuumba bila matatizo mengi. Tazama video za Marley akiwa anafanyiwa opereshen na jinsi alivyobadilika. Bofya hapa chini

http://goldentz.blogspot.com/2012/12/hujafa-hujaumbika.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment