Saturday 1 December 2012

Re: [wanabidii] Timu za Tanzania zatinga robo fainali CECAFA

Matinyi,
Kumbe unajua mambo mazuri.





Walewale


From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, December 2, 2012 3:00 AM
Subject: [wanabidii] Timu za Tanzania zatinga robo fainali CECAFA

Timu zetu zote mbili zimeingia robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa wakubwa mwaka 2012 zinazofanyika nchini Uganda.
 
Michuano ya Robo Fainali itakuwa kama ifuatavyo (kwa mujibu wa tovuti ya Soccer Way):
 
Jumatatu kipute cha kwanza: TANZANIA BARA  na Rwanda
.........................ndinga la pili: Uganda na Sudan
 
Jumanne kipute cha kwanza: TANZANIA ZANZIBAR na Burundi
.........................ndinga la pili: Kenya na Malawi
 
Nusu Fainali ya Kwanza: Natabiri itacheza TANZANIA BARA na Uganda
Nusu Fainali ya Pili: Nabashiri itacheza TANZANIA ZANZIBAR na Malawi
 
Mchezo wa Mshindi wa Tatu: Uganda na Malawi
 
Fainali: TANZANIA BARA na TANZANIA ZANZIBAR.
 
Hongera Tanzania Bara kwa kuifunga Somalia 7-0 huku mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa, akipiga magoli matano peke yake na golikipa wa Simba, Juma Kaseja, akiokoa magoli elfu. Hadi sasa Tanzania Bara ndiye yenye magoli mengi katika michuano hii kama ifuatavyo:
Mrisho Ngassa ........... 5
Boko wa Azam ........... 4
 
Wachezaji wa Yanga bado hawana mchango kwa timu yetu, wazungukazunguka tu!
 
Matinyi.
 
 
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment