Ndiyo. Umezua hoja. Yote yanawezekana. kama kuna wakubwa wanaelekeza kuwa elimu lazima ilipiwed Nch ikitumia raslimali zake vizuri inaweza kucheza mchezo. Mfano: Wabunge 'hukopeshwa' Magari na huyalipa. Kinachofanyika ni kuwapa hela watakayotumia kulipia mikopo hiyo. Wanapata mafuta kwa garama ambayo bei yake haijafikiwa na hawawezi kutumia hata robo ya mafuta hayo. wanatumia hizo kulipa 'deni' la mkopo. Tanzania inaweza kuokoa hela ambazo inaweza kuzitumia kuzirudisha mifukoni mwa wananchi wake na wakazitumia kugarimia elimu. Mfano: 1) Serikali ikiamua kukusanya mapato kutoka madini, mitandao ya simu za mikononi na kutoza kodi wakubwa wengine inaweza kupunguza kodi anayolipa mwananch wa kawaida na hela hiyo ikabaki mfukoni mwake akalipia elimu ya watoto wake. Nauli tunayolopa kwenye mabasi na meli ni kubwa ajabu. gari lililipa kodi, Vipuri vinalipiwa kodi, mafuta vilevile. Mfanya biashara wa magari analipa kodi. Jumla ni nyingi. 2) Ukubwa wa serikali wa mawaziri kijiji. Serikali ikipunguza ukubwa huo na mikoa na wilaya. hela itakayookolewa ikaingizwa banki au popote ambapo mwananchi ataikuta akaitumia ama kama mkopo au ruzuku, atalipia elimu kwa nafuu hizo. Tumekosa akili na kuwasingizia wanaoendesha ulimwengu kwa rimoti. --- On Tue, 12/11/12, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment