Thursday 13 December 2012

Re: [wanabidii] Semina ya ujasiriamali kwa watu wote

Nazi, lipo tatizo la kuutunza huo utajiri ukishapatikana, kwa sasa utajiri wa mtanzania hauzidi miaka 30. Miaka ya nyuma yalikuwepo matajiri kama Mwanamboka, bajber na scandinavia express ambayo yalivuma kwa muda mfupi na kufifia hivyo watanzania wanahitaji kuelimishwa namna ya kukaa na utajiri wao hadi vizazi na vizazi. Ukiondoa biashara za wahindi wachache kama Karimjee motors, Patel traders na somaiya group za waswahili hazi zidi miaka thelathini katika biashara.
 
Lipo tatizo la capital boosters, yaani misukumo ya ukuaji wa mitaji. Ukiondoa Michael Shirima (Precision Airways) wengine wanakuza mtaji kwa kujinyima na kwa kutegemea faida za biashara badala ya kuuza hisa katika masoko ya hisa ili kukuza mtaji. Sidhani kama mfanyabiashara kwa kujinyima na kujilimbikizia faida anaweza kukua na kuwa kama wafanyabiashara akina Dr. Sam Jona na Aliko Dangote.
  
2012/12/13 Charles Nazi <cnazi2002@yahoo.com>

Wapendwa,
Napenda kuwafahamisha kwamba tutaendesha semina ya ujasiriamali kwa watu wote, siku ya jumamosi tarehe 15/12/12, saa 4.00 asubuhi mpaka saa7.00 mchana .Semina hiyo itaendeshwa kwenye ofisi yetu
 ya Mshauri wa biashara, iliyopo eneo la barabara ya Mandela mkabala wa kituo cha daladala Mabibo Hostel, Dar es salaam. Muwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi, Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara . Kiingilio ni Sh. 10,000 kwa kila mshiriki. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1. Namna ya kuanzisha biashara.
2. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
3. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
4. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
5. Mifano hai ambayo unaweza kuifuata na kuanzisha biashara
6. Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watahudhuria wapige simu au watume ujumbe simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara;
http://www.squidoo.com/mshauricharles

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment