Thursday 20 December 2012

Re: [wanabidii] SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI

Sio wanafalsafa wote hukubaliana katika nadharia zao, ndio maana hata plato ambae alikua ni mwnafunzi mzuri wa socrates kuna baadhi ya mabo aliyachambua kwa mtizamo wake tofauti na mwalim wake huyo halkadhalika hatikana crito, critobulus , anex manes , anex mandes na thales walitofautiana kimitazamo katika ufafanuzi wa mambo fulani sasa wewe mtoa mada una uhuru wa kutoa maoni yako na mtizamo wako ila nakukumbusha hata wakongwe wa falsafa kama akina socrates walioa na walikua na watoto wao, rejea kitabu philosophical problems katka mada iitwao problem of clarification utaona jinsi socrates alivyokua anatoa usia kwa wanae kupitia kwa mwanafunzi wake critobulus kabla ya kupewa sumu na kuuwawa kwa kosa la impiety kudai kua anawaharibu vijana kwa kkuwafundisha wasiiabudu miungu ya kiigiriki kwani sio miungu ya kweli.

Mimi nina os kwakua nilazima kua na familia imara yenye malezi bora ya baba na mama na pian kutimiza maandiko ya vitabi vitakatifu ya kuoana na kuujaza ulimwengu



From: Novatus Kambota <novakambota@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 17, 2012 10:49 PM
Subject: [wanabidii] SABABU MBILI KWANINI UMEOA; MTAZAMO WA KIFALSAFA ZAIDI

Wewe ni mwanaume? unajua kwanini umeoa? wanafalsafa wanatoa sababu kuu mbili kama ifuatavyo;

1. Ubinafsi
Mtu anaoa kwasababu ya hulka yake ya ubinafsi anataka kumfanya mwenza wake awe wa peke yake

2. Hulka ya kumtawala mkeo

Hii ni sababu ya pili, kwamba kila mwanadamu ana hulka y akupenda kumtawala mwingine hata watu pia huoa ili waweze kutawala wenza wao
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment