Thursday 6 December 2012

Re: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI


Hujui zinanufaisha ndugu zako walio Ngorongoro wanaosomeshwa bure, wanapewa hadi chakula bure!
Kweli Kabisa Tony.

Kwa bahati nzuri taasisi yetu ilifanikiwa kuhusika na kupanga Serengeti Regional Conservation Strategy. Wakati wa Ndugu Mbano akiwa mkurugenzi wa wanyama Pori na Mzee Ndolanga akiwepo. Kulikuwa na ukame mwaka huo uliokuwa mbaya sana wanyama walitoka porini na kuingia mjini na majumbani kutafuta maji (1993-1994).

Tuliangalia mapato yaingiayo kutoka shughuli za wanyama pori na kuangalia yale ya Ngorogoro na wanayofaidisha wananchi kupitia Pastoral Council na directly. Hela vijiji na wilaya wapatazo directly total  makampuni ya uwindaji, mahoteli n.k na kutoka TANAPA asilimia zao. Kweli ni vituko, tusilaumu serikali tu. Tulichofanya cha ujanja pia ni kukusanya copy ya cheque toka hoteli (bed fee) zilizokuwa zinapelekwa wilayani (10% ya daily bed fee x number of beds per a hotel). Pia copy ya cheque au maandishi OBS aliyokuwa anawapa hela directly vijiji kila mwezi wakati wa msimu wa uwindaji- Tukaomba na maelezo ya matumizi yake ndani ya Vijiji vya Loliondo; vya Maswa Game reserve, Vizungukavyo Grumeti na Ikorogo Game reserves.Vijiji kama Olbalbal, Soitsambu, Engerosambu, Endulen, Osinon, Kakesio, Nyanza, Robanda vizungukavyo na ndani ya hifadhi hizo.

Inafikia kwamba unauliza matumizi unashangaa Morani wamekuja wamewazunguka na wanapandisha mori (hasira) kama vile tumewakosea kitu. Nabidi mfunge note book zenu mpande gari muondoke.Unafika mahara unaonyesha hela ya NCAA kupitia pastoral council ilivyonunua mahindi mabovu ambayo wamasai wenyewe hawataki kuyanunua kwa hiyo kilo shs 50 wananunua gulioni mahindi mapya mazuri waletayo wenzao na wachuuzi wengine kukataa hayo mabovu yaliyonunuliwa kimtindo wa tumboni street.
Unasimama Endulen wazee wanaeleza historia na matukio mengine-anasimama kijana Moran (kavaa safari boots) anafoka na kumstopisha mzee asiendelee kuongea (ilishangaza mila ilivyogeuka). pamoja na mila zetu na kukabidhi madaraka wazee wa mila lakini imefika mahala vijana wahoji maana sasa nao baadhi wamekuwa FISADI. Sio tu kuwa hela wamewazo wanafanya matumizi mabaya ya ubinafsi na ufisadi, wanaingia maamuzi yasiyo ya demokrasia na yasiyofaidisha wengi bali wao huneemeka-na % toka mali asili, mafunzo na safari safari, priority za kusomesha watoto kupitia hayo mafao hata wale wapelekwao ulaya na mashirika mbali mbali.

Kukaribisha wageni na kuwapa ardhi (pamoja na mifugo yao kuja kujazana kwetu). Tulikuta mloliondo umekatwa malundo ya mbao yanakwenda kenya (engerosambu-loliondo). Tulionyeshwa maboma ya wageni ndani ya NCA (lakini mama usitutaje kama sisi ndio tumekuonyesha). wakenya wamehamia, wanafuga, kilimo na kufaidika na mafao ya NCAA. Ni mengi sana jamani tunayoyaona lakini kazi tutumwanzo ktk jamii na serikali yetu zinaweza kuwa kifo chetu -budi uwe mwangalifu maana uko porini. Wakati mwingine unarudi hotelini unaona kila mtu kachanganyikiwa anabwia beer kama wazimu sababu ya frustrations ya unayoyaona vijijini, maofisini, maswali na majibu ya watu yanayoonyesha ubinadamu nusu, kukosa utaifa na utu na tabula rasa ubongoni. Why African tupo hivi, tunaona yanaonekana tu vipofu; tunavyo tunaviharibu, tunaoneana na kudhulumiana, hatujipendi, hatupendani tunafanya kwa pamoja vya maendeleo. Mwalimu wetu kiziwi nasi tu vipofu. Halafu ukweli hatuupendi. Na hata wanyama pori wajengewe mabwawa-tutahamia na mifugo iliyolimbikizwa beyond carrying capacity ya eneo, tutaalika na kuleta wafugaji toka nchi jirani, mabwawa yatajaa mchanga, yatakauka. Mbona tunabomoa miundo mbinu hata electric poles; kujaza taka ktk mitaro etc. Eti wanao bomoa hawajui umuhimu. Kama hajui-mbona habomoi electric poles mchana bali usiku au kutupa magunia ya uchafu usiku sio mchana kila mtu amuone? Anajua madhara yake.

--- On Mon, 3/12/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 3 December, 2012, 5:09

Lengai,


Hujui zinanufaisha ndugu zako walio Ngorongoro wanaosomeshwa bure, wanapewa hadi chakula bure!

Zinawasaidia Wamasai wa Ngorongoro. Ndugu zako!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: LENGAI OLDOINYO <lengai2000@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 1 Dec 2012 19:22:53 +0000 (GMT)
To: <hlib@muhas.ac.tz>; <mum@mum.ac.tz>; <info@mzumbe.ac.tz>; <info@out.ac.tz>; <info@ruco.ac.tz>; <mfumbusa@yahoo.com>; <vcsaut@saut.ac.tz>; <admission@saut.ac.tz>; <stmarksadmin@sjut.ac.tz>; <gchelelo@sjut.ac.tz>; <admin@sjut.ac.tz>; <sua@suanet.ac.tz>; <vc@suanet.ac.tz>; <dvc@suanet.ac.tz>; <dvcadminfin@suanet.ac.tz>; <fos@suanet.ac.tz>; <ice@suanet.ac.tz>; <sua-tu@suanet.ac.tz>; <scsrd@suanet.ac.tz>; <pestman@suanet.ac.tz>; <plan@suanet.ac.tz>; <pro@suanet.ac.tz>; <support@suza.ac.tz>; <info@teku.ac.tz>; <dpacademic@duce.ac.tz>; <elctsmmuco@smmuco.ac.tz>; <info@butmaninternational.com>; <sematangotours@cybernet.co.tz>; <serenacarhire@habari.co.tz>; <sgresort@yahoo.com>; <sss@habari.co.tz>; <tours@albatros.co.tz>; <mia@albatros.co.tz>; <info@chadema.or.tz>; <rassingida@pmoralg.go.tz>; <mhariri@habarileo.co.tz>; <advertising@dailynews.co.tz>; <jennie@albatros.co.tz>; <shidolya@yako.habari.co.tz>; <sssafaris@cybernet.co.tz>; <s-s.kolowa@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <unasemaje@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipapers@mwananchi.co.tz>; <globalpublishers@dar.bol.co.tz>; <educate@intafrica.com>; <costech@costech.opc.org>; <info@satif.or.tz>; <info@satf.org>; <eotf@raha.com>; <eotf@cats-net.com>; <zitto@chadema.or.tz>; <worldtourstanzania@hotmail.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] RE: WIZARA YA MALIASILI NA SHIRIKA LA TANAPA CHIMBIENI WANYAMA MAJI

Mimi nadiriki kusema Tanzania inaingiza fedha nyingi sana kutokana na Hifadhi za Taifa Tanzania lakini sielewi fedha hizi zinaenda wapi na zinafanya kazi gani nchini. Wizara na Shirika la Tanapa vinaendeshwa kisiasa. Watu wanaangalia fedha inayoingia inufaishe familia zao lakini hawajali wanyama wanaoingiza fedha hizo. Hivi Tanzania ilivyo na vyanzo vingi vya maji inakuwaje Wasomi wa Wizara ya Mali asili na utalii na Shirika la Tanapa wanaangali wanyama wakifa kwa kukosa maji kwenye mbuga za Katavi na Mahale.

 

Kwa nini fedha zinazoingia zisichimbe maji toka ardhini yakaweza kuponyesha Wanyama wanaokufa hifadhini. Au Serekali ya CCM imebweteka na misaada toka nje hivyo inasubiri waletewe mafungu ya misaada toka Marekani na kwingineko. Wizara ya Mali Asili na utalii tumieni akili mlizopewa na Mwenyezi Mungu chimbeni maji ardhini kuokoa maisha ya Wanyama wanaotuingizie fedha mnazoiba na kwenda kuzificha Ulaya.

 

Hii ni aibu kuona wanyama wanakufa wakati Dunia iko juu ya maji. Mbona watu binafsi tunachima maji nyie kama Wizara na Shirika mnashinwa nini kuchimba.maji. Mtakosa Wanyama wa kuuza mpate fedha na familia zenu. CCM kuweni wabunifu sio kungoja masaadfa kwa kila kitu duh mnaboa.

Mkereketwa

Lengai Ole Letipipi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment